Wanaume wengi wanakumbwa na tatizo la nguvu za kiume, unakuta mtu anahangaika kutongoza kweli atakuhonga wee mpaka unamkubalia.
Kipindi anakutokea atajisifu kwamba Show anaiweza ukikubali mkaenda faragha kidude chake kinakuwa kama kina kifafa Hakisimami sawasawa na akikachomeka tu kameshamwaga wakati wewe hata hisia hazijaja unaishia kuchafuliwa, hapo hata ukachezee vipi hakasimami tena. Looh acheni kupiga puli zinawaumbua.
simply Monicca ni mtu selfish!
kwa post zako nyingi sijui kama unaigiza au la, lakini mtu mwenye haiba kama zako huwa selfish kwa all standards.
haya tukiirejea mada yako ni kuwa, lazima ujue unatoka na nani na kwa ajili ipi!
Kwanza wanaume kufanya mapenzi sio kwa ajili ya orgasm pekee, ile pia ni symbol ya ujasiri, kuwa mtu mwenye power yeyote etc.
kamwe game si kitu cha mzaha kwa mwanaume, lakini ukweli unabaki kuwa kila jambo na wakati wake.
sasa ukitaka upigwe game hadi upepewe na feni usiende na mtu above 40, mara nyingi utaishia kuwa disappointed!
Ukitaka uliwe usiku kucha just go down to 20 - 35 years.
Kwa kadri tunavyokuwa uwezo wa marathoni unapungua, tunahitaji mechi za muda mfupi na bao 1 au 2 kwa siku 3 -4 apart.
Kwa kadri watu wanavyokuwa ndio busara inaongezeka, na aina mbalimbali za upendo kama kununua zawadi, kusema maneno mazuri na outing za bila ya game nazo huwa zinaongezeka! establishment ya empire hapa inalindwa Zaidi na cash na vitu vingine vya ziada ambavyo wanawake ndio mnavipenda!
Simply ni kwa kadri umri unavyoenda mbinu Zaidi ndio zinazotumika kudumisha penzi, vitu kama foreplays na game ktk seductive environments etc ili tu kuleta hamasa.
hawa vizazi vya bodaboda anafanya game ktk uwanja mbovu lkn hata vumbi la chumbani kwake husikii, yeye harembi ni moto tu hadi unaomba poo!
sasa shida yako monicca unataka watu wakupe pesa, halafu upate good sex, sadly wazee wenye kisu, wengi hawana mambo, so chagua kimoja ni nadra sana kupata vyote!
kwa hao unaowapa huo ujumbe, huwasaidii chochote, mwanaume anayebezwa hawezi mchezo, hali yake huwa mbaya Zaidi kuliko ulivyomkuta, kisaikolojia mtu anapoteza ujasiri na kujiamini na kwa hiyo performance inazidi kushuka.
kama mtu wako unampenda na hafikii malengo yako, wasiliana naye, muombe afanye vile wewe utaona unafika na jaribu kuwa na maandalizi ya kutosha ikiwemo kutumia virutubisho Zaidi ili kuleta msisimko.
Farasi akichoka kwenda hata uchape na chuma haongezi spidi, just mtumikishe taratibu farasi wako kwa kazi nyingine na asiwe wa mbio za mashindano!