Wanaume wengi wanakumbwa na tatizo la nguvu za kiume, unakuta mtu anahangaika kutongoza kweli atakuhonga wee mpaka unamkubalia.
Kipindi anakutokea atajisifu kwamba Show anaiweza ukikubali mkaenda faragha kidude chake kinakuwa kama kina kifafa Hakisimami sawasawa na akikachomeka tu kameshamwaga wakati wewe hata hisia hazijaja unaishia kuchafuliwa, hapo hata ukachezee vipi hakasimami tena. Looh acheni kupiga puli zinawaumbua.
Mmmm.. mwanamke maneno kuntu..! Japokuwa mimi ni mwanaume lakini nikupe pongezi sana [HASHTAG]#monicca[/HASHTAG] kwa kuusema ukweli wa chumbani maana umepunjwa kitu wakati anakugegeda huyo jamaa aliyekuchafua. Pongezi hizi pia yaweza kuwa papuchi yako ipo vizuri kiasi kwamba njemba imeshindwa kujizuia...., maybe. Mimi niwe tofauti na wachangiaji wengine kwa kukuuliza maswali machache:-
1). Je, aliyekuchafua ndio mlikuwa mnakutana naye faragha kwa mara ya kwanza au ndio kawaida yake hivyo siku zote?
2). Je, wewe mwenyewe unajua namna ya kufanya au kafanyiwa (foreplay) kabla ya tendo ili ulidhike utakavyo?
3). Je, miadi yenu ya siku hiyo mlipanga kufanya kwa part time (just 2 hours) or full day or night (8 to 10hours)?
4). Je, ni mahali/mazingira gani mlikutana? je, kwake/kwako? guest house au kwa mshkaji wake aliomba room?
Maana ya kuuliza hivyo ni kujenga hoja yenye mashiko tu kwamba swala sex satifaction it's mere psychological and can be controlled. How?
Huyo jamaa aliyekuchafua kama ni kweli ndio ilikuwa mara ya kwanza kukutana naye katika tendo hilo (katika swali la 1), na yeye alikuweka sana akilini (psychologically) namna ambavyo angekufaidi (ambalo ni tatizo pia kwa wanaume walio wengi). Basi tambua tayari alishafanya sex na wewe kisaikolojia hata kabla hujamvulia.., yaani kitendo cha kuvua tu na kuchomeka dushe (hicho wewe umekiita kidude chake) yeye siku nyingi kapizi yupo hoi anahema. Nini wewe ulitakiwa kufanya baada ya yeye kufika mapema kabla yako (swali la 2)? Kumbuka kitendo cha huyo jamaa kukojoa mapema hivyo tayari kilimhamisha sana kisaikolojia sio kwa utamu tu..., bali jinsi alivyoanza kujisikia vibaya kujilaumu sana na kutojiamini kwamba hata hajakukuna kwa muda wa kutosha kama alivyokupania na ndio imekata kihivyo mapema loooooh. Mind you, it's psychological torture if I may say...! Kila mwanaume katika tendo hilo huwa anapenda asifiwe kuwa anaweza mambo. Nimeona comments za vijana wengi tu hapo juu wakijinasfu kuwa eti uwa pm, inbox waje wakuoneshe show inavyochezwa. Hawana lolote ni waongo tu, bali ni ile ile hulka ya mwanaume kutaka kuonekana hayupo nyuma hasa katika mambo ya kugegedana. Narudia tena, nini wewe ulitakiwa kufanya baada ya yeye kufika mapema kabla yako (swali la 2)? Kwanza wewe ulipaswa kumsifia sifia kwa kumpa pole baby, sweetie, honey huku ukimkumbatia na kumbusu kwa mahaba masikioni whatever..., na kwamba utampa tena na tena siku hiyo (full day or night) sio part time (muda mfupi). Amini usiamini kwa kumsifia sifia hivyo na hicho kidude chake baada kama dk 30 hivi which is normal biologically angerudi kwa kasi ya ajabu usiyo tegemea ambayo ndio ingekufanya uridhike umeonaeee. Sio hivyo tu, bali as a woman you need to take control of the game. Sio unamwachia kila kitu eti wewe kazi yako ni kuzungusha/kunengua kiuno tu. Hapana, hapana, hapana. Slowly slowly but sure, kwa kubadili style mbalimbali na sio kumwaacha yeye pekee mwanaume to take control of the game which is very wrong for most women, lazima uachwe unaweweseka kwa kuachwa njiani. Pia kwa kuongezea mazingira mnayokutana kwa shughuli kama hiyo ni lazima muwe huru vya kutosha sio mara sijui atatuona fulani kuwa tupo hapa sijui oooo, muda hautoshi mna lisaa limoja tu... what is this?
Tusisingizie nguvu za kiume nguvu kiume ambayo wengi siku hizi wanaliwa fedha zao na waganga wakienyeji sijui tiba asili. Wakati ni swala la kisaikolojia tu na la kujipanga fresh. Mbaya zaidi these guys wa namna hii never get a second chance to correct their own undoing? Ni hivyo yaani wanaume pia jipangeni mkitoka na hawa viumbe sio kuwawazia sana namna utakavyo mkunja sijui nini nini. Demu ukimzingua kihivyo lazima akuteme na kukudharau kama hivi Monicca alivyotoa yake moyoni kuwa huwezi kazi ya kuwasha moto kwa kupekecha sio kutumia kiberiti.