Wanaume acheni hii tabia chafuuuuuuuuuuuuu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume acheni hii tabia chafuuuuuuuuuuuuu.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nduka Original, Jun 3, 2012.

 1. Nduka Original

  Nduka Original JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 753
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  JF ni social media na kazi yake ni kupashana habari, kurekebishana na kujengana pia. Mimi kuna tabia huwa siipendi na kama kuna mwana JF anayo namsihi aache MARA MOJA. Na hii tabia iko zaidi kwa wanaume.

  Unakuta mwanaume anamla demu/mke wa mshikaki mwengine na wakati utamu umekolea lile dume eti linamwambia MTUKANE MUME WAKO/BOY FRIEND WAKO na mdada nae anakazana ****** WEWE HUKU AKITAJA JINA LA MPENZIWE.

  Huu ni unyanyasaji kwani mtu anapokuwa kwenye climax hana control ya chochote kile hivyo ni kama unamzalilisha tu.
  Au madada mnataka kutetea kwamba huwa hamfanyagi hivyo.
   
 2. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Vipi mkuu mbona kulalamika, je wewe umeshakuwa mhanga wa tabia hii? Pole mkuu kama ulitukanwa na demu wako wakati akibanjuliwa na lijamaa.
   
 3. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,003
  Likes Received: 3,184
  Trophy Points: 280
  We umejuaje?

  Au ulivyoambiwa ulitukana?
   
 4. Nduka Original

  Nduka Original JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 753
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hapana ila kuna washikaji wana hii tabia aisee
   
 5. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  mmh, ni ngumu sana kujua kama hii inatokea unless ume-practice
   
 6. Nduka Original

  Nduka Original JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 753
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mi silagi vya watu bana
   
 7. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  hahahaha Duniani kuna mambo.
   
 8. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  hiyo ipo......inaongeza mashamsham.....Ila si tabia nzuri
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,246
  Trophy Points: 280
  Lol! A million $$ question! Ama alimuuliza mkewe akiwa kileleni 'muuza genge anakuambiaga nini?'
   
 10. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #10
  Jun 3, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  daah nikajua mambo ya usodoma kumbe kutukana 2... Aisee..
   
 11. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #11
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Mmmh,ndio kwanza nisikie tangu nizaliwe,sasa huyu X umtukane yupo au anakusikia? ujinga tuu,tena ningekua mie akinambia nimtukane namwambia siwezi sababu hunikolezi kama yeye sijui kama ataendelea kutwanga tena ....
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Jun 3, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  kaaaah duniani kuna mambo......
  Huyo mwanaume atakuwa hajiamini.......
   
 13. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #13
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,996
  Trophy Points: 280
  Kumcha Mwenyezi Mungu ndio mwanzo wa hekima.
  Aziniye na mwanamke, hana akili kabisa.
  Epukeni zinaa jamani, oeni.
   
 14. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  duh, kama hii ni kweli huenda wenye akili wakawa hawapo kabisa...
   
 15. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #15
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Story za kijiweni hizi, hivi hamna cha kuongea kijiweni mpaka muongee vepa kiasi hiki.
   
 16. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #16
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,399
  Trophy Points: 280
  Rais apunguziwe madaraka ya kuteua vyeo kibao! Viti maalumu viwe maalumu kweli mfano,walemavu,wazee,vijana,albino,wanawake baasi kila chama kitoe viti sawa!! RC,DC,Mawaziri,wakurugenzi wa idara mbalimbali/wilaya/mkoa,Makatibu wa wizara na wote wanaoteuliwa na prezda wote wawe wanaapply position hizo na qualification husika strictly degree/master/phd etc

  •mbunge aweze kuadabishwa na wananchi sio lazima afikishe miaka mitano na akiondolewa mshindi wa pili ashike kiti(kuepuka gharama za uchaguzi)

  •Mfanyakazi wa umma waziri,mkurugenzi,katibu na vyeo vinavyofanana na hvyo akila rusha au akiliingizia hasara taifa shurti afilisiwe na apate mvua zisizopungua 10

  •Serikali isomeshe wanafunzi bureee vyuo vikuu
   
 17. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #17
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  enh vp tena mkuu.. au mi ndo sijaelewa.!!! King Kong III
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #18
  Jun 3, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Mzuka jamani una mambo na uzuri kungononeka ni jambo very private,labda nimuulize mtoa mada hivi tuseme kila kitu ambacho tume experience kwenye kungononeka? Patatosha kweli hapa. Ungejua kongosho huwa analiaje akikaribia kilele wala usingefungua thread hii.
   
 19. D

  Doreen22 JF-Expert Member

  #19
  Jun 3, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 475
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Huo ni upuuzi mno, huwa nashangaa watu wanaposema hivyo, kumbe it's serious, inatokea!, lucky, sijawahi kukutana na mtu mpuuzi kama huyo
   
 20. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #20
  Jun 3, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Ukistaajab ya mussa........
   
Loading...