Habari za jumamosi wana jamvi matumaini yng nyote wazima
Mimi kero yng ni kwa baadhi ya wanaume ambao wanaanzisha mahusiano na mwanamke alf anaanza kuringa mara asipokee simu na yeye hawezi hata kumunza mwenzake kila siku mwanamke ndio amuanze na akijua kama mdada anampenda ndio anazidisha kuwa kimnya
Je ni anakuwa anampima imani mwanamke au nia yake ni kuumiza moyo wa mwenzake? Jamani wakaka na wababa naomba mnisaidie nijue sababu kuu ya kutufanyia hivyo