Najiona bado kidogo notakuwa dhahabu inayotembea. karibuni muwahi seat jamani. hahaha.wana upungufu wa nguvu za kiume as wengi hapo wana vitambi wanene kupitiliza pia wana kusukari na presha
Kweli mkuuWakati wanawake wakifikisha umri wa miaka 30+ wanaume wanawapatia majina tofauti tofauti kama vile makinikia, nungayembe, wazee, n.k, hali ni tofauti kabisa kwa wanaume wenye umri wa 40+.
Wanaume wa umri huu kila mwanamke anawahitaji. Kwasabb wanawake wengi wana dhana zifuatazo juu yao:-
-wamekomaa kiakili na wana maamuzi sahihi.
-wanajua ku-care.
-wamepunguza tamaa za kuchepuka.
-wengi wao wanajitambua.
-wengi wamefanikiwa kimaisha.
Kwani uongo??........ Kweliiiiiî...
Hapo kwenye 40+ yrs huwa hakuna "Park at Your Own Risk". Instead there's "Park at Your Own Benefits!!"
Ndiyo maana wanahitajika/ wanapendwa na warembo.
Umeona eee !!!?Hapo kwenye 40+ yrs huwa hakuna "Park at Your Own Risk". Instead there's "Park at Your Own Benefits!!"
Ndiyo maana wanahitajika/ wanapendwa na warembo.
Wewe uko kundi gani
Mbona wameoa wengi tu?Hiyo 40 ukiwa single uwezekano wa kuoa ni mdogo
Aaah mkuu dhahabu inashindwa vipi kuoa ?? Labda akatae yeye. Trust me wanaongelewa, wanatamaniwa na wanagombewa sana na mabintiHiyo 40 ukiwa single uwezekano wa kuoa ni mdogo
Miss Chagga hujampata anayepiga mazoezi ama kufanya kazi ngumu kama ukuli, kusukuma mkokoteni, ama kubeba zege. Hawa wako fiti kuliko hata under 20. Lkn ukichukua hawa wapaka shedo was ofisini hawana kitu. Hata 30s wachovu balaaKama anayopesa sawa tunagandana ila kama huna pesa ni makinikia inayotambaaa.... ... ila wanaume wengi hupevuka na kuwa na akili wakifika 40 madudu yao inakuwa nguvu si kubwa sana kama walio chini ya hapo