Wanaudsm waelekea ikulu...

nziriye

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
1,051
361
hayawi hayawi yamekuwa,vijana wa chuo kikuu cha dsm wanapo ktk maandamano ya amani kuelekea ikulu kupeleka malalamiko yako kwa mh.mkwere labda anaweza wasikiliza na madai yao,wanakwenda na hoja mbili..mosi,je raisi anajua dai lao waliloomba kupandishiwa hela toka 5000tsh to 10000tshs,pili,kama hajasikia ndio wanampa taarifa...tatu-kuhusu dowans hamna haja ya kuilipa kwani inaongoza matumizi na bei ya vitu buuuuure.,waungwana wanajf hv ni kweli mkwere yupo ikulu kweli au yupo nje ya nchi ?...muda huu wapo mwenge,aluuuuta continua....
 
@pakajimy,mwache ajifanye mjanja tu bt tyme wil tel for sure,tyme for liberation has come,lets work as team to chase away mkwere
 
Poa saa wazee Tuko pamoja.

Maisha magumu namna hii tutaishije kwa Tsh5000/=(elfu tano) ili hali kila kitu wao

wamepandisha? Je, wao wanaweza kuisavaiv kwa kiasi hiki?

Hapa bila kufanya kama Tunisia au Egypt Hakitaeleweka!
 
hayawi hayawi yamekuwa,vijana wa chuo kikuu cha dsm wanapo ktk maandamano ya amani kuelekea ikulu kupeleka malalamiko yako kwa mh.mkwere labda anaweza wasikiliza na madai yao,wanakwenda na hoja mbili..mosi,je raisi anajua dai lao waliloomba kupandishiwa hela toka 5000tsh to 10000tshs,pili,kama hajasikia ndio wanampa taarifa...tatu-kuhusu dowans hamna haja ya kuilipa kwani inaongoza matumizi na bei ya vitu buuuuure.,waungwana wanajf hv ni kweli mkwere yupo ikulu kweli au yupo nje ya nchi ?...muda huu wapo mwenge,aluuuuta continua....

ndo maana nimeona ffu mandela road wanaelekea Ubungo?

nchi hii bwana. hata nzi wakikanyaga meza ya chakula ya rais watapelekewa FFU.

kila kitu FFU.kila kitu FFU.kila kitu FFU.
 
Poa saa wazee Tuko pamoja.

Maisha magumu namna hii tutaishije kwa Tsh5000/=(elfu tano) ili hali kila kitu wao

wamepandisha? Je, wao wanaweza kuisavaiv kwa kiasi hiki?

Hapa bila kufanya kama Tunisia au Egypt Hakitaeleweka!

ana uchungu mwanae RIZIWAN ALILIPWA ALFU 5 KWA NINI WENGINE WASHINDWE KUISHI
 
Jamanh i always feel concern kwa yale mambo yote yanayokuwa yanafanyika for the sake of bringing the welfare of majority,i always belive kuwa sauti ya wengi ,sauti ya MUNGU,Am sure time wil tell kama tunachodai ni sahihi ama vpi?people power,nipo hapa makumbusho kijitonyama na muda huu defenders 5 za ffu zimepita,hv hawa polisi wanadhani sauti ya umma inazimwa na risasi za moto,mabomu ya machozi na maji ya kuwasha au?kweli nimeamini kuchamba kwingi......
 
@pdidy-kumbe riz1 kasomea ud mmmh,nadhani mkwere atakuwa na akili za funza,haiwezekani kwamba kama ulisoma chini ya mwembe then na mwanao apitie tabu hzo hzo,its unfair hajui kuwa things do change au anaona sawa tu kwa kuwa atakapojickia yeye anapaa juu kama popo .,lets tel him ril situation kuwa life has changed,maisha magumu,vitu bei juu,ada juu ...sasa how come tuwe watumwa ktk nchi yev,am sure timf wil tel and mkwere wil dance the music
 
Juzi juzi yalikuwa maandamano ya kutolipwa, leo maandamano ya posho kutotosha wakati SAUT wanalalamika kupandishiwa ada.

Tanzania tunaelekea wapi kielimu?
 
Inabidi umati uwe mkubwa sana ili hao FFU ( Failure First Upfront) wazidiwe na hawathubutu kuuwa mtu sasa, so vijana waingie kwa nkwere km vipi tutafute Tahrir yetu!
 
updates please.

natamani wangepita Morogoro road.

Am sure wangepata Mass Support ingekuwa ni Noumer
 
updates please.

natamani wangepita Morogoro road.

Am sure wangepata Mass Support ingekuwa ni Noumer
kweli kabisa ujue wanataka wapite ushuani oysterbay, upanga , ocean view ndo ikulu hahaa, hawapati hata wa kuwashangilia along the way, wangekatiza morogoro road wangepick vichwa along!
 
loooh lol,hapa tz mambo yanatisha,ffu wametawanya watu na bomu ,lol wachache ndo wanaendelea...mmmmh...hoping kitaeleweka tu better few strong than many who are weak,aluta continua
 
Mungu awatangulie.. haki haiji kiurahisi, steps lazima zichukuliwe na maandamano ni mojawapo ya steps. Haya mabomu hawaoni ndo yanaongeza ukubwa wa tukio????????????
 
Back
Top Bottom