kwa Tanzania naona ni Ngumu kuwaiga wana Tunisia na Misri, watanzania kama tumefungiwa kwenye chungu, hakuna anayeweza kupaza sauti yake kwa ujasiri kama alivyo dr Slaa, laiti jamii, vyombo vya habari ingeuunga mkono wanafunzi na kuwatia nguvu, lbd serikali ingeamka huko kuzimu ilikolala!! wamefumba macho na masikio hawataki kuona wala kusikia kero za wananchi, wanachoona wao ni kuilipa DOWANS!! I hate Tanzania, i hate the Government, i hate the President!!!:A S 20: