Darucha
Senior Member
- Dec 28, 2020
- 111
- 211
- Thread starter
- #21
Kweli kabisa mkuuSisi tulisha mwelewa hiyo ni typing error tu mkuu mambo ya keyboard hayo sio kwamba najua. Alafu lazima ujifunze kuwaelewa watu mbalimbali according to their levels of language skills. Watu hawatafanana katika kukuuliza au kujieleza. Wewe ndio unatakiwa ujifunze kuwaelewa.