Wanauchumi msaada wa hili swali

Wanauchumi msaada wa hili swali

Darucha

Senior Member
Joined
Dec 28, 2020
Posts
111
Reaction score
211
The existence of be perfect competition depend on number of strict condition prevailing on the market with firm operates.with example discuss the condition and show if it applicable be in the real situation

Swali linahitaji uelezee conditions za pcm lakini pia ueleze Kama hizo conditions au pcm inaweza ku-exist katika maisha halisi

Conclusion ya mwisho itakuwa kuhusu kushindikana kuwepo kwa pcm kwani conditions zake haziwezi kumeet katika market yoyote
 
Uko sahihi sana..!!
 
  • Thanks
Reactions: a45

Asante Sana mkuu
 
Mkuu umeenda chaka hatari!!! Swali linataka conditions za PCB au CBG basi
 
Mbona swali rahisi sana?
Andika conditions za PCM na applications zake katika real world.
 
Soma nondo hiyo.....
Screenshot_20210110-140421_Phoenix.jpeg
 
Mbona swali rahisi sana?
Andika conditions za PCM na applications zake katika real world.
Swali linahitaji uelezee conditions za pcm lakini pia ueleze Kama hizo conditions au pcm inaweza ku-exist katika maisha halisi

Conclusion ya mwisho itakuwa kuhusu kushindikana kuwepo kwa pcm kwani conditions zake haziwezi kumeet katika market yoyote
Sasa wajameni PCM itaachaje ku exist in real life? Kwani hamna watu wanasoma pcm mashuleni tena wanafaulu math na fizikia kabisa?

Na wengine baada ya kufaulu pcm ndio wakawajengea hizo nyumba mnazofanyia kazi kila siku!!

Achani utani PCM ipo na itaendelea kuwepo.
 
PCM, perfect competition market
 
The existence of be perfect competition depend on number of strict condition prevailing on the market with firm operates.with example discuss the condition and show if it applicable be in the real situation

Turekebishe au tujifunze lugha kwanza! Ulichoandika hakina maana yoyote.
 
Sisi tulisha mwelewa hiyo ni typing error tu mkuu mambo ya keyboard hayo sio kwamba najua. Alafu lazima ujifunze kuwaelewa watu mbalimbali according to their levels of language skills. Watu hawatafanana katika kukuuliza au kujieleza. Wewe ndio unatakiwa ujifunze kuwaelewa.
 
Sasa wajameni PCM itaachaje ku exist in real life? Kwani hamna watu wanasoma pcm mashuleni tena wanafaulu math na fizikia kabisa?

Na wengine baada ya kufaulu pcm ndio wakawajengea hizo nyumba mnazofanyia kazi kila siku!!

Achani utani PCM ipo na itaendelea kuwepo.
 
Kweli ninavyoaandika huu Uzi neno "be"linajiandika lenyewe si unajua smart zetu hizi

Back
Top Bottom