Wanaubungo tukale bata wapi?

Tunawatakieni kila la heri wanachadema wa Dar. lakini msisahau kuwaalika wafuatao:-1. John Tendwa.2. RITZ.3.Rajeo.4.Nape.5.Januari.6.Nassari wa arumeru.7.Lema wa Arusha mjini.
 
Jumamosi iliyoishanilipita maeneo ya Magomeni Mwembechai kuna kiwanja barabrani kabisa mkabala na superstar petrol station kinaitwa centerpoint, ntasisima hapo leo nipate castle light za moto, pamechangamka sana.
 
Afadhali kuchakaa nguo kuliko akili, nguo unaweza kununua akili je utanunua wapi.

Ritz kaingia vipi kwenye udini halafu nyie Chadema-Kata mnadhani siasa ni uadui.

Achana nao hao Ritz karibu Samaki samaki pale Milimani City saa12:30 jioni ya leo nina chupa zako mbili za vinywaji utakavyohitaji
.
 
Afadhali kuchakaa nguo kuliko akili, nguo unaweza kununua akili je utanunua wapi.

Ritz kaingia vipi kwenye udini halafu nyie Chadema-Kata mnadhani siasa ni uadui.

Achana nao hao ritz karibu Samaki samaki pale Milimani City saa12:30 jioni ya leo nina chupa zako mbili za vinywaji utakavyohitaji
.
 
Last edited by a moderator:
Hapa mwanza tunakula bata kona ya bwiru hunters club-kuna rost kavu au special na tusker baridiiiii
 
Back
Top Bottom