GE2025 Wanatuletea mtu ambaye hatukumchagua, maana ya kura za maoni ni nini?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Tarime Mjini wameandamana kwenye ofisi za Chama hicho kupinga hatua ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa kumuengua mshindi wa kura za maoni katika jimbo hilo Michael Kembaki na kumteua Esther Matiko aliyeshika nafasi ya tatu kuwakilisha chama hicho kwa ngazi ya Ubunge katika jimbo hilo.

Wanachama hao wametishia kupigia kura wapinzani kwa kile walichodai chama ngazi ya Taifa kudharau maamuzi ya wanachama

Swali hili ni kuntu sana:

maana ya kura za maoni ni nini? CCM wajibu 🙂

Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Tarime Mjini wameandamana kwenye ofisi za Chama hicho kupinga hatua ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa kumuengua mshindi wa kura za maoni katika jimbo hilo Michael Kembaki na kumteua Esther Matiko aliyeshika nafasi ya tatu kuwakilisha chama hicho kwa ngazi ya Ubunge katika jimbo hilo.

Wanachama hao wametishia kupigia kura wapinzani kwa kile walichodai chama ngazi ya Taifa kudharau maamuzi ya wanachama

View attachment 3452171

View attachment 3452186
Katiba yenu ya CCM hivi karibuni imeboreshwa kwasasa inasemaje kwenye Hilo?
 
Kura ya maoni maana yake ni nini TAIFA la watu wajinga .

Maoni sio maamuzi rasmi .

Hata Chadema mwaka 2015 walimteua Lowassa kiubishi
 
Kama walioongoza hawajatoa rushwa hakuna sababu ya kutesa watu kuchagua viongozi, hiyo kazi wangefanya moja KWA moja hukohuko chamani.

Kuwaheshimu wanachama inabidi wafafanuliwe Msingi wa mabadiliko hayo.

Ni hayo tu
 
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Tarime Mjini wameandamana kwenye ofisi za Chama hicho kupinga hatua ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa kumuengua mshindi wa kura za maoni katika jimbo hilo Michael Kembaki na kumteua Esther Matiko aliyeshika nafasi ya tatu kuwakilisha chama hicho kwa ngazi ya Ubunge katika jimbo hilo.

Wanachama hao wametishia kupigia kura wapinzani kwa kile walichodai chama ngazi ya Taifa kudharau maamuzi ya wanachama

View attachment 3452171

View attachment 3452186
Makafiri wa misikitini wanatuambia tuchague rais mwanamke....mimi napinga hata wanawake kuwa wapiga kura napinga upumbavu wa mwanamke kuwa waziri au naibu waziri napinga upumbavu wa mwanamke kuwa mbunge napinga majeshini kuwa na cheo cha mwanamke zaidi ya kapteni napinga wajumbe wa nyumba kumi kuwa wanawake napinga RAIS MWANAMKE
 
Kura za maoni zinapigwa na watu wenye upeo mdogo wa uelewa
Kuna wengi wao wana upeo mkubwa ila huarisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi a k.a kujizima data

CCM wanatumia mfumo wa unyumbu wa kisiasa ambao unawezesha wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kujizima data tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo, (wahuni)

Human herding in politics is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of working towards group objectives through unbecoming behaviors such as flattering or hypocrisy similarly working towards self-absorbed group
 
Polepole kashawaambia ukweli, chama kimeshikwa na wana mtandao - sasa cha kufany ni kimoja tu kukaa kimya maana ukihama chama shida, ukiongea na vyombo vya habari ni shida. Yaani ishi kama msukule vile.
 
Ama kama digidigi
 
Hata wakijaribu kuwapigia kura wapinzani, bado mshindi atatangazwa wa ccm! Unless otherwise waamue wenyewe wa kumtangaza, au mpaka siku tutakapokuwa na tume huru kweli ya uchaguzi.
 
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Tarime Mjini wameandamana kwenye ofisi za Chama hicho kupinga hatua ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa kumuengua mshindi wa kura za maoni katika jimbo hilo Michael Kembaki na kumteua Esther Matiko aliyeshika nafasi ya tatu kuwakilisha chama hicho kwa ngazi ya Ubunge katika jimbo hilo.

Wanachama hao wametishia kupigia kura wapinzani kwa kile walichodai chama ngazi ya Taifa kudharau maamuzi ya wanachama

View attachment 3452171

View attachment 3452186
Wanasema watapigia chama cha upinzani inaonekana hawa wana ccm tarime hawasomi kusikiliza clip za Pole pole au wanapuuzia.hata wakikipigia chama cha upinzani ni Nec Nida ccm wanaamua.
 
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Tarime Mjini wameandamana kwenye ofisi za Chama hicho kupinga hatua ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa kumuengua mshindi wa kura za maoni katika jimbo hilo Michael Kembaki na kumteua Esther Matiko aliyeshika nafasi ya tatu kuwakilisha chama hicho kwa ngazi ya Ubunge katika jimbo hilo.

Wanachama hao wametishia kupigia kura wapinzani kwa kile walichodai chama ngazi ya Taifa kudharau maamuzi ya wanachama

View attachment 3452171

View attachment 3452186

Hivi kuna watu kweli wako serious na kupiga kura mwaka huu....!!? Uchaguzi ulishakwisha siku Halimashauri kuu ilipotoa majina. Kinachofanyika sasa ni movie tu kuhalalisha hayo majina.
 
Back
Top Bottom