Wanataaluma kwenye siasa tutaendelea? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanataaluma kwenye siasa tutaendelea?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Stany, Jun 12, 2011.

 1. S

  Stany JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mimi nina Mashaka na mpango wa vision 2025 ambao Jk alitoa dira juzi kufikiwa, kama wanataaluma wetu watajikita zaidi kwenye siasa ilihal wao ndio ambao wangespearhead maendeleo through making sound policies,consultancy and so on. Nafikiri tuna misuse human resource tulizonazo. kwa nini watu kama profesa Lipumba ambaye ni gwij la uchumi asingetumika kwenye maswala ya kutunga sera, kuandaa budget n.k?,siasa hawez huyu jamaa! Wkt mwingine namhurumia anavyopondwa na uprofesa wake, anavyotoa pumba kwenye maswala ya politics. Mtu kama Dr H.mwakyembe ni jembe sheria na katiba hiv hii taaluma yake anaitumia vzuri kuelimisha raia abt katiba? .Mwandishi wa vitab na mwanataaluma Nyambari Nyangwine ,hiv kale kastesheri kake ndo kamekufa hivyo? Hawa ni wachache sana ongezeni wengine na wasifu wao ili tuevaluate tumepoteza vichwa vingapi? Ukiwa politician, lazma tukubaliane utafanya mambo kwa maslah ya chama na taaluma yako inakuwa mis/underutilized.
   
 2. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Inshu siyo bla bla za kupanga sera na porojo nyinginezo.inshu ni utekelezaji wa hizo sera.Kwani unafikiri CCM hawana sera nzuri so far?Tatizo kuzitekeleza.Hapo ndipo tulipokwama.Hata hao wanataaluma unaotaka waachane na siasa hawataleta impact yoyote nzuri kama watajakuwa watunga sera zisizotekelezeka.
   
 3. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  waanzishe lecture allowance zaidi ya ile ya mjengoni uone kama kuna msomi ataenda kujidharilisha majukwaani, siasa sio nzuri na hakuna msomi anaependa siasa ila hela yake ndio inapendwa, Just imagine kila Dr au Prof angekuwa akimaliza kupiga pindi pale theatre one au Theatre 2 anakunja laki moja yake je ni wangapi wangekomaa wawe maticha pale UD hao wakina mwakyembe, mwandosya, kawambwa nk wasingekubali kukimbia ud
   
Loading...