WanaSongwe watembea na kusafiri kumdhamini Rais Samia

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
36,358
Reaction score
23,760
Ndugu zangu Watanzania,

Wana songwe kutoka wilaya mbalimbali na maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Songwe wapo wanasafiri na kuapa kukesha wana safiri kwa ajili ya kuwahi asubuhi na Mapema katika Ofisi za CCM Mkoa wa Songwe.

Kwa Lengo la kumdhamini Mwenyekiti wetu wa CCM Taifa na Mgombea Urais wetu atakaye peperusha Bendera ya chama chetu cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Jasiri muongoza njia.

Nikiwa katika maeneo mbalimbali nimeshuhudia watu wana CCM wakiwa na kiu na shauku kubwa sana ya kila mmoja kutaka kuandika historia ya kumdhamini Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania ambaye amefanya kazi kubwa sana ndani ya muda mfupi sana wa uongozi wake. Ambayo kwa hakika imekiheshimisha chama cha Mapinduzi na kukijengea heshima machoni pa watu na kuaminika mioyoni Mwa Watanzania.

Mkoa wa Songwe unataka kuweka historia na rekodi ya watu wengi wana CCM ambao watamdhamini Rais wetu. Njia nzima na mitaa yote ni Mama Samia tu ndiye aliyeteka na kutawala mazungumzo ya watu. Kila mmoja anashauku ya kuweka historia. Watu wanaona ni kama hakukuchi na ndio maana wanataka wakeshe wakitembea usiku kucha.

Kwa hakika huu ni zaidi ya upendo kwa Rais Samia. Haya ni Mahaba kwa Mama yetu . Ni upendo wa AGAPE. Kupendwa Raha sana ndugu zanguni watanzania. Wekeza kwa Maisha ya watu na uguse Maisha yao uone namna utakavyojiwekea alama za kudumu Mioyo mwa watu. Hiki ndicho kinachotokea kwa sasa baada ya kazi nzuri ya Rais wetu kuwekeza kwa watu na Kugusa Maisha yao. Sasa anarudishiwa shukurani za Upendo wa AGAPE.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
IMG-20250810-WA0003.jpg
 
Hizi mbinu outdated zilitumika huko Ulaya mashariki enzi za madictator wao. Walitumia mbinu hizi kuhadaa umma na dunia kuwa wanakubalika sana na wananchi wao. Lakini wananchi walipochoka na ukandamizaji huo waliingia mitaaani. Kasome habari za dictator Nikolai Cheusesko wa Romania utajua kilichotokea. Ccm naona bado mnatumia mbinu za karne iliyopita mkiamini watu bado wamelala.
 
WEWE TAPELI RUDISHA PESA YA SAMA ULIYOTAPELI

Kila siku nakuonya lakini unajifanya kichwa ngumu,hapo Songwe unapojifanya unalima Wala siyo mbali,dawa yako inachemka
 
Hizi mbinu outdated zilitumika huko Ulaya mashariki enzi za madictator wao. Walitumia mbinu hizi kuhadaa umma na dunia kuwa wanakubalika sana na wananchi wao. Lakini wananchi walipochoka na ukandamizaji huo waliingia mitaaani. Kasome habari za dictator Nikolai Cheusesko wa Romania utajua kilichotokea. Ccm naona bado mnatumia mbinu za karne iliyopita mkiamini watu bado wamelala.
Wivu na chuki binafsi vitakuuwa Mwaka huu au kukusababishia ukichaa na Uwendawazimu
 
Kumuua Mdude Nyagali kwa kufuata Maagizo yako uliyotoa lilikuwa la kijinga sana, nakuhakikishieni kwa Mbeya na Songwe Mjiandae kuua zaidi, nadhani umenielewa
 
Mdude ndio nani? Embu elezea kidogo nipate kumjua huyo mtu.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Wana songwe kutoka wilaya mbalimbali na maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Songwe wapo wanasafiri na kuapa kukesha wana safiri kwa ajili ya kuwahi asubuhi na Mapema katika Ofisi za CCM Mkoa wa Songwe.

Kwa Lengo la kumdhamini Mwenyekiti wetu wa CCM Taifa na Mgombea Urais wetu atakaye peperusha Bendera ya chama chetu cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Jasiri muongoza njia.

Nikiwa katika maeneo mbalimbali nimeshuhudia watu wana CCM wakiwa na kiu na shauku kubwa sana ya kila mmoja kutaka kuandika historia ya kumdhamini Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania ambaye amefanya kazi kubwa sana ndani ya muda mfupi sana wa uongozi wake. Ambayo kwa hakika imekiheshimisha chama cha Mapinduzi na kukijengea heshima machoni pa watu na kuaminika mioyoni Mwa Watanzania.

Mkoa wa Songwe unataka kuweka historia na rekodi ya watu wengi wana CCM ambao watamdhamini Rais wetu. Njia nzima na mitaa yote ni Mama Samia tu ndiye aliyeteka na kutawala mazungumzo ya watu. Kila mmoja anashauku ya kuweka historia. Watu wanaona ni kama hakukuchi na ndio maana wanataka wakeshe wakitembea usiku kucha.

Kwa hakika huu ni zaidi ya upendo kwa Rais Samia. Haya ni Mahaba kwa Mama yetu . Ni upendo wa AGAPE. Kupendwa Raha sana ndugu zanguni watanzania. Wekeza kwa Maisha ya watu na uguse Maisha yao uone namna utakavyojiwekea alama za kudumu Mioyo mwa watu. Hiki ndicho kinachotokea kwa sasa baada ya kazi nzuri ya Rais wetu kuwekeza kwa watu na Kugusa Maisha yao. Sasa anarudishiwa shukurani za Upendo wa AGAPE.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwani yale malori ya U tong. leo yako wapi,ama ilikiwa siku ya mnada leo?
 
Samia ni maji hakuna wa kuyazuia
 
Kuna mada ya ujinga ipo hapa jf na
Lucas Mwashambwa amewekwa kama kinara mungizaji namba Moja wa wajinga wote hapa jf

Hivyo hatushangai vile unatuletea khabari za wajinga wenzio wa huko Songwe
 
Back
Top Bottom