magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 13,284
- 31,877
Somo limeeleweka, nasikia wamesambaza tiketi 5000 kwa machawa ambao wataketi sehemu moja ili Camera ziwanase wanavyoshangilia.Kesho azomewe mwanzo mwisho. No way out.