Wanasimba waikataa live CCM jana

Wanasimba waikataa live CCM jana

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,193
Reaction score
3,959
Wanasimba jana wamefanya tukio ngumu sana ni mara baada ya msigwa kumtwangia simu mgombea urais wa CCM Samia watu waligoma kabisa kuitikia salamu ya mgombea huyo.

Kwangu ni jambo zuri sana tuko tunaenjoy zetu mpira wewe unatuletea siasa
Conclusion: Akili za watz zimeanza kuchangamka sasa

Asilimia 90% ya wakazi wa dar hawaipendi ccm fullstop unabisha ulikuepo??😁
 
Zile clip ni za kweli au AI?

Subiri utopolo A.K.A mbogamboga Fc wasikie mama kapiga simu watakavyokua na shobo, wazee wa kuchangia Ccm
 
Back
Top Bottom