ZionGate
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 6,345
- 2,953
Siku ya Jumamosi timu ya Zesco kutoka Zambia itacheza na Yanga Sports Club kwenye dimba la Mkapa.
Timu ya Zesco ndipo anapochezea kaka wa triple C kiungo mahiri wa clab ya Simba Adrian Chota Chama (ACC)
Adrian ni beki wa kutumainiwa wa kikosi cha ZESCO ambacho wakati wowote kitawasili nchini kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Yanga ambao utapigwa Jumamosi
Familia na Mzee Chota imebarikiwa kuwa na vijana hao ambao wana vipaji vya hali ya juu katika kusakata kabumbu
Ntakuwa taifa jukwaa pendwa la wanamsimbazi ndani ya uzi wa Zesco.