Wanasimba popote mlipo kuweni macho

kivumbi na jasho
 
Kuna jukwaa lolote limetengwa Kwa ajili ya wapumbavu na malofa?
Majukwaa ni ya taarifa walizonazo watu na si watu wenyewe..!! Wapumbavu na malofa wanaingia jukwaa lolote na wakioneka kuleta upumbavu na ulofa wao tunawakumbusha kuuacha
 
Simba hana uwezo wa kushindana na berkane
 
Makolo mnahangaika bure simba tayari keshatema bungo, RS Berkane ni mlima mrefu, simba ni underdog, kolowizard ni timu mbovu tu papatu papatu inayobebwa na marefa,timu yenu haina msuli wa kupishana na Berkane lazima mpokee za uso, sasa mmeanza visingizio kuhujumiwa na uto ili mkifungwa mpate kichaka cha kujifichia halafu, tujikumbushe kombe lenyewe la wamama loosers cup shirikisho,

Mnatupigia uto makelele wakati tukijiandaa kunyanyua makwapa kubeba NBC premier league kwa mara ya nne mfululizo!!

Yanga bingwa
 
Mlitukosesha kombe na ile mvua yenu, hili kombe hamlipati
 
Ni kwamba tulipenda na tulitaka tufike fainali ili kufyeka kichaka, na tumefanya hivyo. Kuchukua au kutochukua ubingwa haitakuwa ishu sana. Kwa ufupi, hapa tu tulipofika pamewaumiza sana utopolo, na hilo ndilo linalotufurahisha
 
Jadili mambo ya msingi kama
Katiba mpya
Ajira za vijana
Kilimo
Technology
Biashara n.k
Mko busy na mamipira
Umepotea njia wewe ndo unatakiwa kwenda majukwaa tajwa kuna mambo mawili una kiherehere na una wivu.
 
Haya ndiyo mambo ccm wanapenda kuona waTanganyika masikini mkikesha nayo usiku na mchana
Aliyeturoga kafa, yani jitu jina linakaa kuandika pumba eti maadai zetu tangu lini Simba na Yanga ni maadui?

Hivi huyu tutusa anajuwa kama Mangungu ni Yanga na GSM ni Simba?
 
Reactions: K11
Jadili mambo ya msingi kama
Katiba mpya
Ajira za vijana
Kilimo
Technology
Biashara n.k
Mko busy na mamipira
Huna akili wewe,unalazimishaje watu wajadili ajira za wanasiasa na wasijadili ajira za soka?
Au hujui soka ni ajira kubwa sana na iko wazi hata kwa watu maskini?
Unataka watu wajadili katiba ya kukuingiza madarakani?
 
Nawaza tu hadi muda huu kama mdude anapumua, je ni lini CCM itafutika
 
Jukwaa la michezo lazima lijadili michezo boss.

Kila jambo na mahali pake kwa muda wake.
Nakuambia kua nyuma mwiko wengi ni zero IQ.
Kwa sababu hili ni jukwaa la michezo wao wanalazimisha tujadili uchumi,sayansi,biashara na siasa.
Wewe unawaona wako sawa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…