Wanasiasa wasiokuwa na bahati

Wanasiasa wasiokuwa na bahati

Mogern Shangerai - Zimbabwe
Raila Odinga - Kenya
Kiza Besije - Uganda
Maalim Seif - Zanzibar

Lowassa /???? No bado hadi agombee zaidi ya mara 2
Maalum seif ana bahati kwani yeye mara zote tokea 1995 amekuwa akishinda Uchaguzi laki ccm walikuwa walichakachua na kumpa pesa asiwasumbue lakini mara hii Uchaguzi ulikuwa wa Ukawa walimpa Onyo mapema kuwa asichukue Rushwa ya ccm akomae tu ndipo Jecha kapewa pesa na ccm akafuta matokeo.
 
Eti uraisi anatoa Mungu nani kasema uraisi unatoa Ccm maana mnalazimishaa mpaka mnajipa
Mungu mbele ya fujo za ccm hukaa pembeni kabsa lakini Safari hii atamsimamia maalum Seif mpaka Rais wa milele Shein ataona Aibu na kuachia ngazi mwenyewe.
 
Maalum seif ana bahati kwani yeye mara zote tokea 1995 amekuwa akishinda Uchaguzi laki ccm walikuwa walichakachua na kumpa pesa asiwasumbue lakini mara hii Uchaguzi ulikuwa wa Ukawa walimpa Onyo mapema kuwa asichukue Rushwa ya ccm akomae tu ndipo Jecha kapewa pesa na ccm akafuta matokeo.
Kumbe mla rushwa miaka yote hiyooo bora hajapewa ushindi
 
Yeaah hilo jambo nmeshaota mara nyingi tu kuwa mbunge huyo ni mchepuko wa huyo mtajwa huko. Na ndiye aliyehakikisha kuwa anapitishwa jimboni kugombea. Na akafanikisha kumpatia ubunge katika jimbo ambalo ukawa wangechukua ubunge kirahisi sana kama mgombea wao asingekubali rushwa na hatimaye kuliacha jimbo mikononi mwa huyo mtu. Hayo yanajulikana kwa kuwa ni wengi pia wamepata ndoto na maono hayo. Nami nimeona ngoja tu niyaweke wazi maana si dhambi kuota au kuona maono.


Mh mbunge wa Segerea ni mchepuko wa rizzy??
 
Kuna mambo acha kumtaja Mungu kabisa. Nlishawah sema pia kuwa Mungu hataki kushiriki siasa zetu kabisa. Mungu aliacha watu wafanye wanavyotka. 2005 mlituaminisha xxx chaguo la Mungu kumbe alikuwa na miungu yake mwenyewe ya ushirikina. Nchi yetu ikaingia kwenye umaskibi na ufisad mkubwa.na sasa mnataka kuleta siasa za namna hiyo tena. Kama atafanya vizur tumshukuru Mungu






QUOTE="kabombe, post: 15392905, member: 37143"]Urais unatolewa na mungu,kama hajaamua hata ugombee mara 12
Mpaka kufikia june,2015,kuna mtanzania yoyote aliwaza kuwa magufuli atakua Rais?[/QUOTE]
 
Urais unatolewa na mungu,kama hajaamua hata ugombee mara 12
Mpaka kufikia june,2015,kuna mtanzania yoyote aliwaza kuwa magufuli atakua Rais?
Kwa hiyo kikwete naye ni Mungu?.... Khaaa uyo magufuli km sio kikwete kumuhofia lowasa angeshindaa?... Muulize makamba km magufuli alishinda
 
Back
Top Bottom