Wanasiasa wasiokuwa na bahati

Wanasiasa wasiokuwa na bahati

Kuna vituko sana nchi hii

1. Leo Jecha anatoka na vifungu vya sheria, hakuwahi kueleza vifungu vilivyompa haki yeye binafsi au tume ya uchaguzi kufuata uchaguzi

2. Jecha hajatoa kifungu cha katiba kinachoonyesha utaratibu wa uchaguzi wa marudio. Nimeipitia katiba ya ZNZ ya 1984 na marekebisho yote sikuona kitu kinaitwa uchaguzi wa marudio wa nchi nzima isipokuwa wa eneo lenye utata

3. Jecha hajatoa kfungu anachosimama nacho kufuta matokeo.
Alikuja na malalamiko 10 ambayo leo hayaongelei amebaki na la kujitangaza

4. Jecha hajaonyesha kifungu cha kujitangaza kinatoa hukumu gani kwa aliyefanya

5. Jecha anasema majina yatakuwa yale yale bila kutueleza sheria za tume yake na katiba zinasemaje

6. Jecha huyo huyo anayesema wagombea ni wale wale anatoa ulinzi kwa waliokubali kushiriki. Hawa waliokubali kushiriki ni wapi ikiwa majina ni yale yale kama alivyosema hapo juu?

7, Jecha anasema tume itatoa ulinzi. Ulinzi na usalama wa wagombea hautolewi na tume kwasababu si mamlaka yake. Tume inaomba ulinzi kutoka vyombo husika!

8. Jecha aliwahi kukaririwa na gazeti moja akisema amethibitisha vyama kutoshiriki.
Leo hajarudi kufuta kauli ile anapandikiza nyingine. Jecha anajua anachosema?

Mogern Shangerai - Zimbabwe
Raila Odinga - Kenya
Kiza Besije - Uganda
Maalim Seif - Zanzibar

Lowassa /???? No bado hadi agombee zaidi ya mara 2
 
Mwanasiasa wa kwanza kutokuwa na bahati ni Mtatiro... Vijana wenzake alionzanao siasa tangu chuo wameshatoka yeye ndio kama hivyo kasanda na kubakia kuwa 'mwandishi wa habari'... Kiukweli kukosa ubunge kwa Mtatiro huwa kunanisikitisha kuliko vitu vingine vyote hapa Duniani...
umeniwahi.
 
Aliuza ubunge kwa hawala ya riz Moja. Hilo linafahamika wazi kabisa.
Pana ka ukweli hapa,
Kwani kama mgombea mmoja wa UKAWA aliwasilisha barua mapema nec
iliyokuwa inataka kuondolewa jina lake kwenye karatasi ya kura

Ilikuwaje yeye alazie damu na kukubali yaishe ki ulaini?
 
Mogern Shangerai - Zimbabwe
Raila Odinga - Kenya
Kiza Besije - Uganda
Maalim Seif - Zanzibar

Lowassa /???? No bado hadi agombee zaidi ya mara 2

Ungesema wasiokuwa wabunifu na kukubari kushindwa manake siasa za ushindani zinataka na ubunifu ili kuaminiwa na wananchi vinginevyo hao wote uliowataja walikuwa sehemu ya hizo serikali. Wananchi waliona utendaji wao sasa wanaona ni bora kuendeleza status quo kwa mfano Seif alikuwa Waziri kiongozi na Makamu wa Raisi wewe kwako bahati unayoiona ni kuwa presidaa.

Wananchi wanata watu wapya recycling madhara yake yanafahamika.
 
Mwanasiasa wa kwanza kutokuwa na bahati ni Mtatiro... Vijana wenzake alionzanao siasa tangu chuo wameshatoka yeye ndio kama hivyo kasanda na kubakia kuwa 'mwandishi wa habari'... Kiukweli kukosa ubunge kwa Mtatiro huwa kunanisikitisha kuliko vitu vingine vyote hapa Duniani...
Kweli aisee naye hana bahati
Chadema wamemuhujumu hapa segerea
 
Mogern Shangerai - Zimbabwe
Raila Odinga - Kenya
Kiza Besije - Uganda
Maalim Seif - Zanzibar

Lowassa /???? No bado hadi agombee zaidi ya mara 2
Urais unatolewa na mungu,kama hajaamua hata ugombee mara 12
Mpaka kufikia june,2015,kuna mtanzania yoyote aliwaza kuwa magufuli atakua Rais?
 
Pana ka ukweli hapa,
Kwani kama mgombea mmoja wa UKAWA aliwasilisha barua mapema nec
iliyokuwa inataka kuondolewa jina lake kwenye karatasi ya kura

Ilikuwaje yeye alazie damu na kukubali yaishe ki ulaini?
Sheria haikufuatwa
 
Back
Top Bottom