Wanasiasa wanavumiliwa,watumishi wa umma wanasimamishwa kazi mbele ya Camera!

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,710
149,954
January Makamba anakuw waziri wa tatu wa Raisi Magufuli kukumbwa na kashifa,mwingine ni yule alietuhumiwa kutoa siri kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo kabla ya waziri mkuu kwenda kutembelea bandari na mwingine ni yule anaetuhumiwa kuteua raia wa Uganda kuwa boss wa NSSF(kukaimu).

Hizi zote ni tuhuma kama zile za Watendaji Wakuu wa Mashirika na Taasisi za Umna ila cha kushangaza tunaona kuwa hakuna anaewajibishwa kupisha uchunguzi bila kusahau na lile sakata la Katibu Mkuu Kiongozi ambalo nalo sijui limeishaje!!

Tusubiri maana mengi yanakuja na ndio itakuwa kipimo kizuri kama kweli kuna mtu anastahili kuombewa kwa mungu au laa.

Sisi tunaendelea tu kuweka rekodi na kupaza sauti ili msidhani sisi hatuoni mnachokifanya.
 
January Makamba ameshatetewa na Serikali, itakuwa ngumu sana kumtumbua!
 
Kumbe ndiyo maana February mawaya alileta ule muswada Bungeni na kuushupalia mpaka ukapita lengo ilikuwa ni kuzuia mijadala kama hii
 
January Makamba anakuw waziri wa tatu wa Raisi Magufuli kukumbwa na kashifa,mwingine ni yule alietuhumiwa kutoa siri kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo kabla ya waziri mkuu kwenda kutembelea bandari na mwingine ni yule anaetuhumiwa kuteua raia wa Uganda kuwa boss wa NSSF(kukaimu).

Hizi zote ni tuhuma kama zile za Watendaji Wakuu wa Mashirika na Taasisi za Umna ila cha kushangaza tunaona kuwa hakuna anaewajibishwa kupisha uchunguzi bika kusahau na lile sakata la Katibu Mkuu Kiongozi ambalo nalo sijui limeishaje!!

Tusubiri maana mengi yanakuja na ndio itakuwa kipimo kizuri kama kweli kuna mtu anastahili kuombewa kwa mungu au laa.

Sisi tunaendelea tu kuweka rekodi na kupaza sauti ili msidhani sisi hatuoni mnachokifanya.
Mtu hasimamishwi kazi kwa propaganda za kitoto bali kwa ushahidi kuntu.
 
yap. na ndio sababu hata wasomi magwiji wanaamua kuweka elimu zao pembeni na kua wachumia tumbo kwenye siasa za tz (kama mwakyembe vile). ukiwa mwanasiasa wa kile chama unakua kama mungu mtu.
 
Umemsahau na mwingine ambaye alijuamulia tu kuingiza mafuta bila kufuata utaratibu kisa sijui wakati wa uchaguzi nchi kama ingeingia kwenye machafuko kuwe na reserve ya mafuta ya kutosha ,sasa sijui aliyemwambia nchi inaingia kwenye machafuko ni nani ,
 
Hivi makamba alifikuzwa uwaziri kipato chako kitaongezeka? Viwavi wenye dhiki ya maisha mna shida sana aisee, dudu limekaa jf ucku kucha makamba makamba kula yenyeshe xhida
 
Msimseme seme January ,mwenye chama anaweza kuamua ndiye awe mgombea wa Chadema 2020,nyumbu wekeni akiba ya maneno kwa Januari.
 
Hivi makamba alifikuzwa uwaziri kipato chako kitaongezeka? Viwavi wenye dhiki ya maisha mna shida sana aisee, dudu limekaa jf ucku kucha makamba makamba kula yenyeshe xhida

Kweli unaitendea haki hela ya January. Hivi kweli hata kama ni ujira unatafuta ni lazima uongee kwa jazba ndio JM atoe hela nzuri?
 
Hivi makamba alifikuzwa uwaziri kipato chako kitaongezeka? Viwavi wenye dhiki ya maisha mna shida sana aisee, dudu limekaa jf ucku kucha makamba makamba kula yenyeshe xhida
viongozi wabadhirifu wa mali ma rasilimali za nchi ni lazina kuwawajibisha, sio kwa ajili ya maslahi yangu binafsi eti kipato au mshahara kuongezeka bali ni kwa maslahi ya taifa kwa sasa hivi na baadae
kama unamtetea makamba mtetee kwa hoja na ushahidi, sio kuongea upuuzi kama huu
 
Back
Top Bottom