sambeke
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 713
- 652
Wanasiasa bana, mvua zilipochelewa kunyesha ilikuwa kila kona njaa, Zito Kabwe alilalama mno akasema litangazwe janga la kitaifa, sasa hivi kila mahali mvua zinanyesha.
Namshauri Zito Kabwe ajitokeze Sasa awashauri wananchi walime, badala ya yeye kuwafundisha kulialia njaa.
Namshauri Zito Kabwe ajitokeze Sasa awashauri wananchi walime, badala ya yeye kuwafundisha kulialia njaa.