Hapo #6 hebu fafanua umalaya wa Heche
sema wewe hayo mazuri yake, yeye kaona ana mabaya mengi kuliko mazuri ivyo hawafaiUnaposema 'mbaya' ya jambo lolote ama ya mtu yeyote, weka na 'njema' yake ili tuthamanishe.
Usipofanya hivyo tutakuona kama kizabizabina na mpika majungu wa jf mwenye wivu wa 'kike', kushambulia viongozi wa kitaifa kizembe kwa kuficha kichwa nyuma ya keyboard huku kiwiliwili kikiwa hadharani.
Ndo nyie aina ya watu unapobanwa sawasawa ili uthibitishe 'vizuri' utasikika ukihitaji huruma ya wahoji '.....brother akiamungu nithamee...'