herzegovina
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 3,141
- 4,721
Adui Mkuu Wa Magufuli ni "Umma Wa watanzania"....haupendiii....haupendiiii....haupendiiiii
Anauchukia kwa sababu kipindi akitembea na barabara kuomba kura mlikuwa mnamnyooshea vidole viwili mkimuimba MTU Fulani.
Kamata kamata ya wapinzani ni kwa ajili ya kuumiza Mioyo ya wananchi....koz wengi wanasapoti upinzani.
Imefika wakati, Rais anaridhika zaidi akiuumiza umma kwa sababu anajua haumpendi....pia anawakumbatia wale ambao umma hauwapendi kwani ndio wafariji wake.
Rais anashindana na umma na hapa ndio tunajiuliza, Je ni kweli alishinda kihalali?????