Wanasiasa wa upinzani wala sio maadui wa Magufuli, mfahamu adui mkuu wa Magufuli....... | Page 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanasiasa wa upinzani wala sio maadui wa Magufuli, mfahamu adui mkuu wa Magufuli.......

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by herzegovina, Mar 21, 2017.

 1. herzegovina

  herzegovina JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2017
  Joined: Oct 28, 2015
  Messages: 1,166
  Likes Received: 1,432
  Trophy Points: 280
  Adui Mkuu Wa Magufuli ni "Umma Wa watanzania"....haupendiii....haupendiiii....haupendiiiii

  Anauchukia kwa sababu kipindi akitembea na barabara kuomba kura mlikuwa mnamnyooshea vidole viwili mkimuimba MTU Fulani.

  Kamata kamata ya wapinzani ni kwa ajili ya kuumiza Mioyo ya wananchi....koz wengi wanasapoti upinzani.

  Imefika wakati, Rais anaridhika zaidi akiuumiza umma kwa sababu anajua haumpendi....pia anawakumbatia wale ambao umma hauwapendi kwani ndio wafariji wake.

  Rais anashindana na umma na hapa ndio tunajiuliza, Je ni kweli alishinda kihalali?????
   
 2. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #21
  Mar 21, 2017
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 6,042
  Likes Received: 3,497
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kabisa
   
 3. Ranks

  Ranks JF-Expert Member

  #22
  Mar 21, 2017
  Joined: Oct 21, 2012
  Messages: 2,599
  Likes Received: 861
  Trophy Points: 280
  Mie ninaamini hakushinda,angalikua ameshinda kihalali angelikuwa ni mwenye upendo kwa watu wake na mskivu.,wasingelijawa na hasira,visasi,chuki,masimango,masengenyo,kibri,dharau na wingi wa manyanyaso.,tusingeliyaona haya wanayotudhihirishia ya kwamba hawana sababu ya kutubembeleza,kutunyenyekea na hata kujishusha.
  Wamebakia kuabudu katika bunduki.
   
 4. muzi

  muzi JF-Expert Member

  #23
  Mar 21, 2017
  Joined: Jun 17, 2016
  Messages: 555
  Likes Received: 577
  Trophy Points: 180
  Walishasema ni dikteta mkapuuza, wale nyumbu someni namba sasa
   
 5. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #24
  Mar 21, 2017
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,406
  Likes Received: 3,659
  Trophy Points: 280
  "kwani Mimi nilivyoenda kuchukua fomu ya kugombea urais nilienda na MTU" anasahau kuwa wananchi ndio walipiga kura na yeye aliomba kwa unyenyekevu hadi kupiga push up
   
 6. n

  niah JF-Expert Member

  #25
  Mar 21, 2017
  Joined: Sep 26, 2015
  Messages: 3,664
  Likes Received: 4,021
  Trophy Points: 280
  Unanikumbusha kawimbo ka JKT baada ya vita ya Kagera kalisema "Ni bora na tufe wote waanze taifa upya, kufa hatuogopi kuonewa hai mwikoooo!" Bulombora Oyeee.
   
 7. n

  niah JF-Expert Member

  #26
  Mar 21, 2017
  Joined: Sep 26, 2015
  Messages: 3,664
  Likes Received: 4,021
  Trophy Points: 280
  Tunaposema hakushinda tunakosea, tuseme hakuchaguliwa basi. Kati ya majina yaliyokuwa yanasemwa semwa hakuwemo, majina matano pendekezwa hakuwemo, walibaki watatu akawekewa malady wawili ili kupoteza boya basi. Hebu sema nani angemchagua Migiro wakati walifahamu alishindwa UN? Yule bibie wa Zenj alishatangaza kumfanya Pombe awe makamu wake, hiyo si likuwa geresha tu?
  Kama ushindi ulikuwa halali mbona vijana waliokuwa wanafuatilia upande wa UKAWA waliwekwa ndani wakati wenzao wa Lumumba waliendelea na zoezi. Bashite oyee na wenzie. Kwa nini anaogopa kutoka nje ya nchi, labda kuna sababu je, akifanywa kama Nkurunziza? Tutafakari na tusijilaumu kwa uchaguzi uliopita sababu hata vijijini watu wananong'ona maumivu yao. Njaa, tetemeko majibu ni kejeri na vitisho wakati tumeona watoto wanatoka shule wanashindia maembe. Wazee tumeshaona mengi tunahesabu siku, kazi kwenu vijana.
   
 8. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #27
  Mar 21, 2017
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 207
  Trophy Points: 160
  Alitangazwa
   
 9. N

  Nena JF-Expert Member

  #28
  Mar 21, 2017
  Joined: Dec 27, 2015
  Messages: 2,314
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  Lubuva ana dhambi sana na Mungu ampe uzima awe shuhuda ili aweze kufanya toba kamili.
   
 10. Bestfredy

  Bestfredy Member

  #29
  Mar 21, 2017
  Joined: Jan 4, 2016
  Messages: 74
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 15
  Ndio alishinda kihalali mbona mm namuelewa sana,angekua hajashinda kihalali angejipendekeza kwa wanainchi ili 2020 ashinde kihalali,tatizo wananchi tunapenda kiongozi ambaye hatufatilii na anayetufatilia huyo ni mbaya mwacheni baba wa watu afanye kazi.
   
 11. binjo

  binjo JF-Expert Member

  #30
  Mar 21, 2017
  Joined: Feb 22, 2016
  Messages: 2,112
  Likes Received: 1,169
  Trophy Points: 280
  Wapinzani wasipobadilika kujifanya mafundi wa GIA ya Anga kwaa manufaa ya muda nakuhakikishia Mkuu utakufa pekee yako.
   
 12. herzegovina

  herzegovina JF-Expert Member

  #31
  Mar 21, 2017
  Joined: Oct 28, 2015
  Messages: 1,166
  Likes Received: 1,432
  Trophy Points: 280
  Sasa kufuatilia Shilawadu ndio ufuatiliaji tunaoutaka???

  Angekuwa mfuatiliaji asingemwacha Bashite
   
 13. Mount Kibo

  Mount Kibo JF-Expert Member

  #32
  May 3, 2017
  Joined: Apr 7, 2013
  Messages: 1,902
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Hata kivuli na matendo yake ni adui kwake.
   
 14. Mwana

  Mwana JF-Expert Member

  #33
  May 3, 2017
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 4,879
  Likes Received: 1,306
  Trophy Points: 280
  He Umma Haumpendi nadhani sasa umepata ukweli wa uzushi wake kwa maandamano ya Moshi!
   
Loading...