Wanasiasa Tusivuruge Amani !

Wanasiasa Tusivuruge Amani !

Kuna mambo magumu yanawakabili wafanyakazi. Hofu ya akiba yao katika mifuko ya hifadhi. Haijulikani nini hatima ya akiba ya wafanyakazi.
Kuna mambo 2 chini hapa hayajulikani;

A - Sasa kuna Fao lipi? Fao la kukosa ajira au Fao la kujitoa?

Wafanyakazi wamefurahi kuhusu haya mambo?

B- Kuunganisha mifuko ya hifadhi za jamii.

Mambo ni siri, Serikali inalipa madeni?

Je kuna pesa kweli, pesa ziko salama?

Nawaza tu, je wafanyakazi watavumilia huu uonevu?

Wewe una uhakika wa kuishi mpaka miaka 55? (una ahadi na Mungu)!

Je, utakuwa huna nyumba ya kuishi?

Tanzania ni nchi yenye haki sana.

Tunahangaika na maendeleo ya wananchi.

Mimi ni mtetezi wa wanyonge.
SAVE THE DATE...... 26-04-2018.
 
Lipo tatizo kubwa hata JF, Nimepost heading " Kufanya siasa za wazi mikutano ya kiserikali ni ruksa? Uzi umefutwa just 15 min,!
 
Back
Top Bottom