Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Kuna watu wamekuwa kivuruga, wanatoa matamko na kufanya mambo yanayoelekea kuleta uvunjifu wa amani. Nadhani huu ni jumbe murua kwa watawala wetu. Amani hainunuliwi, hasa tukisikia haya mambo ya April, 26
Nymbo inaweza kuwa na ujumbe mzito, na hii yetu ilianza kama minongono ya chini kwa chini, lakini baada ya muda yakafikia hapa kutokana na mambo mengi ambayo yanaonekana kama mambo ya uonevu
Cheo ni dhamana. Wenye madaraka wasichezee nafasi zao. Haki haipotei, inacheleweshwa. Tusichezee amani