wanasiasa hawa walipokutana

wanasiasa hawa walipokutana

measkron

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
3,782
Reaction score
2,420
Katika mazishi ya aliyekuwa Askofu wa KKKT Arusha, Thomas Laizer, Mh Edward Lowassa walionana na kusalimiana na kijana Ole Millya aliyehama kutoka CCM na kujiunga na CHADEMA, Picha husema zaidi ya maneno

47.jpg
 
mmmh kwel siasa mchezo mchafu! anamkumbuka sana wakiwa wote ccm! sasa milya ni jembe letu.
 
Imesemwa hapa JF juzi kuwa siku mbili zijazo naye atafanya maamuzi 'magumu' labda kama alivyofanya Ole Milya.

Katika siasa za Tanzania kila kitu kinawezekana.
 
Siasa ni jukwaani tu anapo kuomba kura kuingine ni wao tu kupeta na life.
 
Katika mazishi ya aliyekuwa Askofu wa KKKT Arusha, Thomas Laizer, Mh Edward Lowassa walionana na kusalimiana na kijana Ole Millya aliyehama kutoka CCM na kujiunga na CHADEMA, Picha husema zaidi ya maneno

47.jpg

Dogo niandalie makao huku kimenuka baada ya jamaa kugundua kuwa namuhujumu sasa ameamua kula sahani moja na mimi na hata afya yangu si unaiona dogo? sina amani ya moyo kwa yote niliyowafanyia binadamu wakubwa kwa wadogo muda mwingi silali nawaza ufedhuli wangu kwa watu sijui Mungu atanitwaa lini. Ila life ngumu dogo na mautajiri yangu yote hapa naishi kama ndege wa angani kila nipitapo napigwa mawe. Dogo niombee kwa Mungu
 
Back
Top Bottom