Wakuu nawasalimu,ni hivi juzi kati nilipata fursa ya kufika jimboni kwangu Hanang nilikuta mabadiliko makubwa hasa barabara za mitaa kwa kutengenezwa kwa kiwango cha moram.Kitu kilichoshindikana miaka nenda rudi.Nilipojaribu kuulizia,nkaambiwa ni 2015.
Sasa nauliza kama mahitaji ya msingi yanasubiri mwaka wa uchaguzi,huku tukiumia miaka yote,watanzania tutafika tunapohitaji kufika?.
Sasa nauliza kama mahitaji ya msingi yanasubiri mwaka wa uchaguzi,huku tukiumia miaka yote,watanzania tutafika tunapohitaji kufika?.