wanasiasa acheni bac

Mr. Magena

Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
35
Reaction score
4
Kulikuwa na msiba wa mtoto
wa mbunge ulipofika mda
wakuongea kwa niaba ya
familia,mbunge akajisahau
nakusema wananchi oyee!
 
Bila kukosea ni Mbunge wa magamba huyo aibu kwenu kampeni mpaka kwenye misiba
 
Ni suala la wakati tu, ukifika hatutakuwa na wabunge kama hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…