Wanasheria wamgomea Tundu Lissu

Wanasheria wamgomea Tundu Lissu

queen of the jungle

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2017
Posts
228
Reaction score
430
Kumekuwa na marumbano ya hoja juu ya Rais wa TLS kutoa tamko la mgomo, kwanza kama yuko serious na huu mgomo angeanzia leo tarehe 28/ 8/2017 siku ya kesi yake Kisutu tungejua kweli anamaanisha lakini yeye siku ya kesi yake kairuka ameweka Jumanne na Jumatano ni sababu gani zilizomfanya airuke hii siku ya Jumatatu ni ujanja wa kuwafanya wenzake mazuzu ilii wasiende mahakani wapoteze wateja

Pili mamlaka ya lisu juu ya wanasheria, inajulika kabisa chini ya section 8 ya
Advocate act kuwa mwenye mamlaka ya kukuapisha na kukupa prectising certificate ni jaji mkuu na ndo mwenye mamlaka na maamuzi sahihi Lissu kwenye chama ni sawa na monitor wa darasa ambae hana mamlaka ya kukuachisha shule ila kukuongoza usipige kelele au kukubebea daftari hivyo mwalimu ndo mwenye mamlaka ya kukufuta shule na ndivyo ilivyo kwa Lissu atakuponza ugome then ukifutiwa uadvocate hatakuwa na msaada wowote juu ya maisha yako.

Tatu katika mgomo huo atasimamishaje mahakama, wanasheria wa serikali, na watu binafsi na vipi hakimu au jaji akitoa judgement in exparte yeye Lissu atakussaidiaje maana katika tamko lake la mgomo hajafafanua juu hili endapo mahakama ikaendelea yeye atachukua hatua zipi ina maana utapoteza kazi au utampoteza mteja mwisho wa siku utarudi kulima kwenu.

Nne mara nyingi wanasheria wamekuwa wakijigamba kuwa ili uonekana guillty lazima mahakama ithibitishe beyond reasonable doubt (pasipo shaka) je vipi yeye amethibitishaje juu ya hili na kwa nini anataka kuulisha uma chuki kwa kuuaminisha kuwa lile bomu ni la serikali wakati hajathibitisha pengine kuna maadui wengine mi naona asitake kuwaforce wenzake wamfuate kwa uongeaji wake usio mimi na mipaka then awaalike kumsaidia wakati hajui wanakulaje, wanaishije na wanamikataba gani na wateje wao, je Lissu atawalipia kodi, kuwalisha hapa mjini.

Kwa ushauri wangu wanasheria msikubali kufuata mkumbo yeye ana kazi nyingi na analipwa sehemu nyingi, ubunge, CHADEMA na sheria ni nyongeza mumwachie mwenyewe apambane na hali yake asialike za wenzake maana hamkumtuma kutoa brake mdomoni kwake akili za kuambiwa ongeza na zako inawezekana kwa ujanja wake kachukua diary yake kaangalia siku ambazo hana kesi ndo kaziweka ziwe za mgomo then wewe ugome ufungiwe yeye aendelee na kazi zake.
 
Arguments zako ni kama Lissu aliamua yeye kama yeye au Mwenyekiti. Kabla ya tamko, kulikuwa na kikao cha Governing Council ambacho ndio kialiamua na yeye kutangaza kama Mwenyekiti wao. Sioni mantiki ya kumalaumu Lissu binafsi.
 
Heading inasema wanasheria lakini content inaonyesha ni mtu mmoja aliyeongea hayo.
 
Arguments zako ni kama Lissu aliamua yeye kama yeye au Mwenyekiti. Kabla ya tamko, kulikuwa na kikao cha Governing Council ambacho ndio kialiamua na yeye kutangaza kama Mwenyekiti wao. Sioni mantiki ya kumalaumu Lissu binafsi.
hata raisi ana kamati zake lakini yeye ndo final so kikiwa kizuri atasifiwa kikiwa kibaya atasemwa means ukiwa ndo mkuu unatakiwa uchuje na uvipinge baadhi ya vitu watanzania wengi hawazijui hizo kamati wanaemuona ametoa tamko ni lissu, pia uongozi ni msalaba mnakuwa wengi kujadili lkn maamuzi ya mwisho unayabeba wewe na utasifiwa wewe au utapondwa wewe thats why wamesema Raisi wa TLS hawajasema kamati ya TLS
 
Back
Top Bottom