tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,864
- 3,851
Soma historia ya chimbuko la serikali, sheria toka UingerezaKuna mashtaka mengi ya kesi yamekuwa yakiandikwa kwa mtindo wa "Republic Versus Mshitakiwa", bila kutaja jina la hiyo Republic, kwa uelewa wangu, hata Kenya na China nazo ni Republic. Je, Mashtaka yanayoishia kusema Republic Vs Mshitakiwa bila kutaja ni Republic ipi, yana mashiko kisheria?
Mkuu naona hata wewe umeuliza swali, nadhani huna uhakika pia na hiyo Republic. Nadhani Mahakama zibadilike sasa ziandike Mashtaka bila Ku acha maswali.Si ni Tanzania?lakini ni kesi za high court na court of appeal chini ya hapa hua hatu share na upande wa zanzibar
Je, hatuoni ni muhimu sasa kubadilika na kuandika Mashtaka bila Kuacha maswali?Soma historia ya chimbuko la serikali, sheria toka Uingereza
Je, endapo ukashitakiwa na Mashtaka yakaandikwa kwa mtindo wa "Republic Vs Mshitakiwa" , pasipo kutaja jina la hiyo Republic, Kisha wewe Mshitakiwa ukaamua kulipinga shitaka kwenye Mahakama, Je unaweza kuwa na hoja ya msingi?Ukiona kesi ya hivyo ujue ni pambano kati ya serikali na raia wake walioiweka serikali madarakani.
Wanatakiwa waandike Republic of Tanzania vs [Mchochezi] maana kesi inasikilizwa TZ.
Wakati huu wa Magufuli inabidi tuzoee kesi za namna hii maana Malaika wetu ni mkamilifu.
Mahakama za Tanzania hutumia sheria za nchini. Yaani ni kuwa mahakama ya nchi nyingine kwa ujumla haiwezi kutumia sheria za nchi zingine. Nimesema kwa ujumla kwa vile somo ni pana kwani kuna wakati maamuzi ya nchi hutumika nchi nyingine hutumika nchi nyingine. Hivyo hapa Tz ikiandikwa Republic moja kwa moja ni TzJe, endapo ukashitakiwa na Mashtaka yakaandikwa kwa mtindo wa "Republic Vs Mshitakiwa" , pasipo kutaja jina la hiyo Republic, Kisha wewe Mshitakiwa ukaamua kulipinga shitaka kwenye Mahakama, Je unaweza kuwa na hoja ya msingi?
Mimi siyo mtaalam wa sheria lakini kwa upeo mdogo nadhani mshtakiwa anatakiwa kumjua mshtaki wake.Je, endapo ukashitakiwa na Mashtaka yakaandikwa kwa mtindo wa "Republic Vs Mshitakiwa" , pasipo kutaja jina la hiyo Republic, Kisha wewe Mshitakiwa ukaamua kulipinga shitaka kwenye Mahakama, Je unaweza kuwa na hoja ya msingi?
Duuh hujui kesi Za jinai anaeshtaki ni Republic wee umekalia siasa tu ukiona RepublicUkiona kesi ya hivyo ujue ni pambano kati ya serikali na raia wake walioiweka serikali madarakani.
Wanatakiwa waandike Republic of Tanzania vs [Mchochezi] maana kesi inasikilizwa TZ.
Wakati huu wa Magufuli inabidi tuzoee kesi za namna hii maana Malaika wetu ni mkamilifu.
Hakuna shida juu ya hilo, kitu ambacho wengi pamoja na mleta mada wanataka kukifahamu ni je Republic ipi?Duuh hujui kesi Za jinai anaeshtaki ni Republic wee umekalia siasa tu ukiona Republic
Nimekuelewa Mkuu,....Haya mambo siyafahamu kwa taaluma wala wa uzoefu, sijawahi kukumbana nayo kabisa.Jina la mlalamokaji huandikwa mbele ya "jalada" la faili la kesi
Nenda mahakamani utaona hivyo
Mfano
Juma kamuibia John..Hati ya mashtata inaandikwa R v Juma lakini kwenye jalada la kesi kutaandikwa jina la mlalamikaji/mhanga pamoja na la mshtakiwa
Pia kwenye hati ya mashtaka huandikwa majina yao,wajihi,kazi,wanakoishi n.k kwenye ukurasa mwingine
Nafikiri nimeeleweka
Weka hapa hiyo historia.Soma historia ya chimbuko la serikali, sheria toka Uingereza
Una smartphone mkuu ina maana unaona uvivu ht kugoolge tuWeka hapa hiyo historia.
Wacha weeeeh! Big up Mkuu.Ndo ka"field" kangu
Ukiwa kwenye mahakama za ndani neno Republic is judiciary noted as Tanzania...ni kama useme magufuli ni raisi wa Tanzania hakuna mahakama itakuomba ushahidi kwa kuwa ni judicial notedKuna mashtaka mengi ya kesi yamekuwa yakiandikwa kwa mtindo wa "Republic Versus Mshitakiwa", bila kutaja jina la hiyo Republic, kwa uelewa wangu, hata Kenya na China nazo ni Republic. Je, Mashtaka yanayoishia kusema Republic Vs Mshitakiwa bila kutaja ni Republic ipi, yana mashiko kisheria?