Ndugu zangu watanzania hasa wanasheria wenye uchungu na nchi yetu, naomba msaada wenu utakao nisaidia kuishtaki ccm na serikali yake kwa kutuibia wananchi na kutusababishia umaskini mkubwa kama siyo ufukara.
Nahisi uchungu mwingi sana kutokana na mateso ndugu zetu wanayopata kutokana na wizi huu mkubwa ambao umekuwa ukifanywa na ccm pamoja na serikali yake wakisaidiwa na vyombo vyetu vya dola.
Kesho asubuhi naondoka hapa Peoria Illinois kuelekea Buffalo NY kukutana na mwanasheria mmoja mzuri wa kimarekeni ambeye ameonyesha moyo wa kutusaida sisi vijana wa Kitanzania tunaohangaika vyuoni, huku tukifanya kazi masaa mengi hata wakati wa snow ili mradi tupate pesa za kuweza kujikimu, huku ccm na serikali yake ikiwaruhusu wezi kutorosha mali zetu.
Rais kama kweli una nia ya dhati acha naomba uwaache huru watu wajadili hizo sheria kwa uhuru wote bila kutoa mwanya kwa hao majizi ya ccm yaliopitisha miswada kwa mbwembwe tena kwa lazima.
Pia peleka muswada wa katiba mpya iliyokwama bungeni ili tupate fursa ya kukamilisha mchakato na kuondoa kinga ili wahusika wote wa wajibishwe bila kujali vyama vyao bali historia iwahukumu wote.
Nahitaji msaada wa kisheria