Wanasheria mtusaidie, Spika anaposhindwa kusimamia Azimio lililopitishwa na Bunge, nini kitatokea?

Ktk hali ya kawaida bila kujali sheria au katiba.
Aliyoyafanya spika ndugai mbele ya uma wa watanzania, anastahili kuongoza muhimili huu muhimu kwa nchi yoyote duniani?
Kamati ya mwakwembe haikuona ufisadi wa lowasa kuhusu kashfa ya Richmond.
Lakini kwa kuwa waziri mkuu ni Mtendaji mkuu wa serikali AJITATHIMINI JE ANASTAHILI KUENDELEA NA WADHIFA HUU.

WITO KWA NDUGAI,
AJITATHIMINI, KWA MAZIMIO NA UFAFANUZI,BATIRI NA KUTOKUSIMAMIA KAULI ZAKE JE ANAFAA KUENDELEA KUWA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YETU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu uoni sasa kuwa ni DHAHIRI SHAHIRI BUNGE ni DHAIFU, maana limeshindwa kusimamaia maamuzi yake yaliofanyika kwa mbwembwe.
Bunge dhaifu linapotisha azimio batili na ufafanuzi batili, ni kutokana na kukosa sense, hivyo linapopuuza utekelezaji wa azimio batili na kupuuza aliyetoa kauli ya ufafanuzi, na badala yake kuamua kufanya the right thing, this is good, hii maana yake Bunge sasa limeanza kurejea kwenye the right sense.

P.
 
wabunge wa CCM hawatumii akili wala busara na cha ajabu wengi wana degree zao au ndio elimu yetu ya kukariri? Ma Pro na Ma Dr wakiwa vyuoni wanaiponda sana serikali lakini wakipewa vyeo wanakua wajinga kabisa utadhani sio wao
Hapa mi naona shida ni mfumo uliopo. Inawezekana mbunge hakubaliani na hoja lakini hawezi kusema hadharani kwa kuhofia kuwajibishwa na chama na hata kupoteza ubunge wake. Kama mfumo ungeruhusu wagombea binafsi wa nafasi za ubunge na urais, si ajabu maamuzi mengi tunayoyaona leo yangekuwa tofauti sana. Watu wangekuwa huru zaidi kutumia uhuru wao wa kuamua mambo kuliko kuhofia nafasi zao
 
wabunge wa CCM hawatumii akili wala busara na cha ajabu wengi wana degree zao au ndio elimu yetu ya kukariri? Ma Pro na Ma Dr wakiwa vyuoni wanaiponda sana serikali lakini wakipewa vyeo wanakua wajinga kabisa utadhani sio wao
Matumbo hutoa fahamu za watu, utu na uungwana hupotea
 
Azimio Batili na ufafanuzi batili, usipotekelezwa, hakuna kosa lolote kikatiba kwa sababu katiba imefuatwa. Lingetekelezwa ndipo kungetokea matatizo ikiwemo kuvunjwa kwa Bunge.
P
kupitisha azimio batili kwa kutumia mishahara, posho na gharama mbalimbali ambazo zinalipwa kwa kodi za watanzania, halafu kutolitekeleza, ni UBADHIRIFU WA HALI YA JUU SANA. NI UFISADI HASA.
 
Back
Top Bottom