Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 27,549
- 34,876
Kumbe walipotuambia kuna tofauti ya kufanya kazi na ofisi ya CAG na kufanya kazi na CAG ambaye ni Prof Assad ilikuwa ni kujaribu kuifanya batili iwe halali?Azimio Batili na ufafanuzi batili, usipotekelezwa, hakuna kosa lolote kikatiba kwa sababu katiba imefuatwa. Lingetekelezwa ndipo kungetokea matatizo ikiwemo kuvunjwa kwa Bunge.
P