Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,415
Tatizo lipo kwa spika kutudanganya kuwa hawezi kufanya kazi na profesaAzimio Batili na ufafanuzi batili, usipotekelezwa, hakuna kosa lolote kikatiba kwa sababu katiba imefuatwa. Lingetekelezwa ndipo kungetokea matatizo ikiwemo kuvunjwa kwa Bunge.
P
Vipi wale wabunge waliopewa adhabuAzimio Batili na ufafanuzi batili, usipotekelezwa, hakuna kosa lolote kikatiba kwa sababu katiba imefuatwa. Lingetekelezwa ndipo kungetokea matatizo ikiwemo kuvunjwa kwa Bunge.
P
Azimio Batili na ufafanuzi batili, usipotekelezwa, hakuna kosa lolote kikatiba kwa sababu katiba imefuatwa. Lingetekelezwa ndipo kungetokea matatizo ikiwemo kuvunjwa kwa Bunge.
P
Mpaka JPM kampuuza ndugai, hii ni aibu kubwa kwa bunge la CCMAzimio Batili na ufafanuzi batili, usipotekelezwa, hakuna kosa lolote kikatiba kwa sababu katiba imefuatwa. Lingetekelezwa ndipo kungetokea matatizo ikiwemo kuvunjwa kwa Bunge.
P
Mkuu wajua hapa spika anapewa hii report na Rais, so akigoma kupokea basi anakua anamgomea Rais, kitu ambacho asingethubutu kwa jinsi anavyomuogopa na kumnyenyekea.Tatizo lipo kwa spika kutudanganya kuwa hawezi kufanya kazi na profesa
In God we trust
Mkuu wajua hapa spika anapewa hii report na Rais, so akigoma kupokea basi anakua anamgomea Rais, kitu ambacho asingethubutu kwa jinsi anavyomuogopa na kumnyenyekea.
Hapo ni jino kwa jinoNa Professor Assad alisisitiza na kukazia kwenye mkutano wake na waandishi habari kwamba.....
Neno DHAIFU ni neno la kimkakati, na pia yeye pamoja na ofisi yake hawato acha kulitumia neno hilo DGAIFU
Hapo ni jino kwa jino
In God we trust
Sawa lakini nini kifanyike going forward kuepukana na matukio kama haya yanayosababisha nchi nzima kuwaka moto pasipo sababu za maana wala tija?!, Spika should have known from the word go kwamba azimio alilolisimamia halikuwa na mashiko hata kidogo; na kwamba alikuwa anapandisha political temperatures nchini bila sababu mpaka watendaji kina Moroto wanakiuka maadili ya kazi zao kwa kuropoka sentensi zisizo na weledi!Azimio Batili na ufafanuzi batili, usipotekelezwa, hakuna kosa lolote kikatiba kwa sababu katiba imefuatwa. Lingetekelezwa ndipo kungetokea matatizo ikiwemo kuvunjwa kwa Bunge.
P
Hivi Mkuu unadhani Ndugai haijui kua ni dhaifuest?Sawa hapo sasa ndiyo anatuthibitishia kuwa yeye Ndugaye ndiyo dhaifu kuliko
In God we trust