Najua nitarushiwa mawe! Nimejiandaa kwa hilo. Nimeamka na hang over nikitafakari nchi yangu niipendayo inaelekea wapi. Nimegundua wanasheria they have real fuc..k..ed our country. Ukianzia na Chenge Andrew yule ni mwanasheria, Hosea wa PCB amesomea sheria, Mzee Msekwa amesomea sheria, Mzee Sitta aliyeingia kwa mbwembwe kwenye usipika kumbe naye ni msanii ni mwanasheria, wale jamaa walikuwa wana sign mikataba hewa ya deep green ni wanasheria tena wazawa wa nchi hii hii....
Lawrence Masha naye alikuja na issue yake ya kimitego na vitambulisho lohh the list goes on
whats wrong na wanasheria hivi hawana uchungu na nchi yetu?
Jamani mke wangu ni mwanasheria, ila kila siku namuambia hii fani yenu inaiangamiza nchi kwani mmekuwa wanasheria msio na maadili wala upeo, kama kweli wangekuwa maadili basi nchi hii isingeingia kwenye mikataba mibovu ya madini na wawekezaji feki, hii inamaanisha kuwa pale ambapo waziri ana percent fulani nao hupata ila wanauwezo wa kukataa kusaini kila jambo linalopindisha sheria na kanuni za mikataba au malipo, ila wanasheria wetu huwa hawajiamini na wanashirikiana na mafisadi matokeo yake wanaingizia nchi kwenye matatizo makubwa.
I have to say...Sheria ni field muhimu sana! Ila its an area where one can be creative and manipulative! tatizo kubwa la Tz ni ujinga! Na adui wa sheria ni ujinga! Kama wewe ni mjinga, basi siku zote sheria itakukula! Watz wangapi wanaelewa hata basics za sheria...kama Haki zao? Hii ndo sababu moja kuu imenifanya nisomee sheria...kuondoa ujinga! I think you have come across this saying: "ignorance of the law is not a defence!" Sasa kama wewe utakuwa mjinga na kushindwa kudai haki yako....mwanasheria aliye creative na manipulative atakudanganya kwa kusudi la kukuibia. Na hichi ndicho kinachoendelea Tz. So in the end i have come to agree with Nyerere...Adui mkubwa wa Taifa ni Ujinga,... Tukiondoa huo, basi tutaweza kujipanga sawasawa!
Pia ningependa kuwaunga mkono wale waliotaja morals! We (tanzanians) lack a sense of dignity and moral!
Hivi hiyo red ina maana gani;hatuwezi wote tukasomea sheria na ndiyo maana tunawatumia mawakili. sasa inakuaje jamani kila mtu asiyejua sheria aitwe mjinga? Tuna Walimu, Wahandisi,Maafisa Kilimo n.k. Je wote ni Wajinga? Majigambo mengine ni ya kipuuzi mno.
Hawa watu ni blabla tu ya siasa za majukwaani,wametuangusha tangu mkoloni atupe uhuru bandia.Umefika wakati watu wa sayansi tuchukue nchi sasa tuisogeze mbele. Mazee wote wa 'mchepuo' twendeni tukachukue fomu!
I hate that professional....binti yangu hatosemea hiyo!
Mkuu Masa hapo umekichinja kizungu afadhali tuandikie kiswahili!! You mean 'I hate that profession!! Samahani kama nimekukwaza mkuu.
Masanilo, usilaumu wanasheria, walaumu wale manaoconcieve hizo plans dhalimu na kuzitekeleza mwanasheria ni mtu wa mwisho na mara nyingi wanakuwa side steped. Kwenye utaratibu wa kawaida kuna procuring process ambayo haiko chini ya mwanasheria, kuna tendering process ambayo wanasheria wanaandika minutes tu hawafanyi recommendations ( eti ni technical), baada ya hapo ndo mkataba unatayarishwa na wanaheria ambao hawakuwepo kwenye negotiations.
Baada ya hapo yanaanza malipo, kuna internal auditors ambao kazi yao pia ni kucheki hivyo vitu kama vimepita process yote ya procurement kama sheria inavyotaka, wao wanapitisha tu.
Sasa hapo mwanasheria ana kosa gani?
Tatizo ni kuwa Watanzania wote hatuna morals, tunataka hela haraka bila kufanya kazi ili wote tuendeshe vogue, tuwe na ghorofa watoto wasome UK, USA, tule movenpick, tushop nje ya nchi , twende vocation South Africa bila kujua kuwa tunafanya hivyo kwa hela ya walipa kodi.
Take this point, wewe ni mwanasheria mkuu, kazi yako ni kumshauri raisi, ambaye katiba haimlazimishi kupokea ushauri wowote! Umemshauri, amekataa! what to do? una resign? atakaye kujachukua nafasi yako naye ata resign? u can see how some times lawyers are place in are hard time. force to do things which, though they are not illigal, are very immoral! Remember Law is not what you feel but what it is exactly in statutes
Hata siasa ni Sayansi, Uchumi ni Sayansi nk. Unamaanisha sayansi ipi au Engineers, MD nk. Lakini wapo pia Mwakyusa, Mwandosya nk. Mimi nashauri apewe Engineer mmoja nchi itakuwa too mechanical lakini ndiyo tutaweza kwenda mbele. Hawa wana sayansi za jamii tunaona wanatuyeyusha tu na kujineemesha.
I hate that professional....binti yangu hatosemea hiyo!
Hata siasa ni Sayansi, Uchumi ni Sayansi nk. Unamaanisha sayansi ipi au Engineers, MD nk. Lakini wapo pia Mwakyusa, Mwandosya nk. Mimi nashauri apewe Engineer mmoja nchi itakuwa too mechanical lakini ndiyo tutaweza kwenda mbele. Hawa wana sayansi za jamii tunaona wanatuyeyusha tu na kujineemesha.
Hata siasa ni Sayansi, Uchumi ni Sayansi nk. Unamaanisha sayansi ipi au Engineers, MD nk. Lakini wapo pia Mwakyusa, Mwandosya nk. Mimi nashauri apewe Engineer mmoja nchi itakuwa too mechanical lakini ndiyo tutaweza kwenda mbele. Hawa wana sayansi za jamii tunaona wanatuyeyusha tu na kujineemesha.
Any advisor, not only lawyer, worth that title has to do so. You are paid to advise if the bugger who pays you to advise him does not heed to the advise why the hell then do you hang around?
Kuna msomi mmoja wa zamani I mean kazaliwa miaka ya 50s aliwahikuniambia kuwa enzizao watu wote wenye uwezo darasani kwa wakati huo walikua wakienda Science 1 yaani PCM na wanaofuata Sc2 yaani PCB and wakatikati walipelekwa comerce na wale walioonekana kutokua na uwezo wa ku conceptualize ndo walienda arts meaning sheria, political science, international relations etc....
Msinipige mawe jamani...najaribu kuangalia kama kuna ka ukweli wa maneno ya huyo msomi wa kutegemewa.... Labda ndo maana Taifa linashindwa kujikwamua kwani wengi wa hao ndo wenye power ya kudecide on issues hasa kuanzia miaka ya 80s kuja mbele mpaka sasa...So lets hope watakapo phase out things will change...Ni mtazamo tu!