Paschal Matubi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2008
- 235
- 303
Nina wafanyakazi ni wakorofi na tumewafukuza kazi. Lakini kule CMA wamefungua madai kwamba procedure ya ku-terminate employment yao imekosewa na ni kweli tukiangalia ni kwamba tulikosea.
Je, tunaweza kushindwa kesi hii hata kama sababu ingawa grounds za kuwafukuza (substantive issues) tunazo lakini prcedure tu ndiyo tumekosea.
Au niliweke kivingine swali langu kwamba, je kama mwajiri ume-prove kwamba substantive una grounds za kumshinda mwajiriwa, je kama nimekosea procedure bado sina room ya kushinda kesi?