Poleni na Mapambano, wakuu
👉Kuna msemo mmoja unasema, mdomo huuumba watu wanasema ukijinenea mazuri basi utapata mazuri ukijinenea mabaya basi utapata mabaya
"Basi kuanzia Leo na mimi najinenea mimi bolotoba ipo siku nitamiliki zaidi ya Bilion moja kwenye account"
👉Martin Luther alinena "one day whites and blacks will shake hands" na kweli imetokea
👉Prof Jay alijitabiria kwenye nyimbo zake atakuwa wanasiasa na kweli akawa sikiliza nyimbo "ndio mzee"
👉Kanumba alisema hatooa na kweli alikufa bila kuoa
👉Nyerere alisema "mpinzani wa kweli atatoka chama Cha mapinduzi na kweli wapinzani wa kweli tu nawaona"Mh. Mpina"
👉Mama yangu mzazi alinambia "usichelewe kuoa ili nione wajukuu" sijaoa hadi leo alikufa bila kuwaona wajukuu
👉Makonda alimnenea mama Samia "ikiwezekana mama siku moja uje kuwa rais wa kwanza mwanamke 2014 hiyo"
Kinachonichanganya kwanini mtu akijinenea mabaya kuna asilimia kubwa ya
naweza kutokea? Tofauti na kunena mazuri 🤔⁉️
Tajiri Sina BAYA Monetary doctor makutupora Fanton Mahal