Wanasema maneno huumba

Wanasema maneno huumba

Waliyaongea haya wakiwa tayar wana % kadhaa za mchakato kuanza. Tayar kulikua na background moves, hawakusema wakiwa wamekaa tu. They were in it already. They had plans, strategies and they kept staying on a focused purpose.
Hayakua maneno matupu. Yalikua na vitendo. Ndio maana unaona ni manemo machache tu. Ila mipngo ilikua mingi.

Hivyo na wewe usiseme tu huku umenyoosha miguu unakunywa mbege. My brother, maneno bila mipango na utendaji, are just empty words, and universe will ignore them ,hence never will manifest.

Ongea kisha NENDA KAKAZE
Mbege Ina singiziwa mengi 😁😁
 
Poleni na Mapambano, wakuu

👉Kuna msemo mmoja unasema, mdomo huuumba watu wanasema ukijinenea mazuri basi utapata mazuri ukijinenea mabaya basi utapata mabaya

"Basi kuanzia Leo na mimi najinenea mimi bolotoba ipo siku nitamiliki zaidi ya Bilion moja kwenye account"

👉Martin Luther alinena "one day whites and blacks will shake hands" na kweli imetokea
👉Prof Jay alijitabiria kwenye nyimbo zake atakuwa wanasiasa na kweli akawa sikiliza nyimbo "ndio mzee"
👉Kanumba alisema hatooa na kweli alikufa bila kuoa
👉Nyerere alisema "mpinzani wa kweli atatoka chama Cha mapinduzi na kweli wapinzani wa kweli tu nawaona"Mh. Mpina"
👉Mama yangu mzazi alinambia "usichelewe kuoa ili nione wajukuu" sijaoa hadi leo alikufa bila kuwaona wajukuu
👉Makonda alimnenea mama Samia "ikiwezekana mama siku moja uje kuwa rais wa kwanza mwanamke 2014 hiyo"

Kinachonichanganya kwanini mtu akijinenea mabaya kuna asilimia kubwa ya
naweza kutokea? Tofauti na kunena mazuri 🤔⁉️

Tajiri Sina BAYA Monetary doctor makutupora Fanton Mahal
Ili jambo tuwaachie watabiri
 
Waliyaongea haya wakiwa tayar wana % kadhaa za mchakato kuanza. Tayar kulikua na background moves, hawakusema wakiwa wamekaa tu. They were in it already. They had plans, strategies and they kept staying on a focused purpose.
Hayakua maneno matupu. Yalikua na vitendo. Ndio maana unaona ni manemo machache tu. Ila mipngo ilikua mingi.

Hivyo na wewe usiseme tu huku umenyoosha miguu unakunywa mbege. My brother, maneno bila mipango na utendaji, are just empty words, and universe will ignore them ,hence never will manifest.

Ongea kisha NENDA KAKAZE
Umeongea maneno mazito sana, thumb up 👍
 
Maneno mazuri huumba na kweli Kwa upande wangu kilakitu ninachotaka kufanya najiwazia mazuri lakin hali ya kuwa najua ni vitu vilivyo ndani ya uwezo wangu na nitavimudu kuvipokea vikija na nitaishi navyo

law of attraction😍
 
Back
Top Bottom