Wanasema maneno huumba

Wanasema maneno huumba

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
4,539
Reaction score
10,372
Poleni na Mapambano, wakuu

👉Kuna msemo mmoja unasema, mdomo huuumba watu wanasema ukijinenea mazuri basi utapata mazuri ukijinenea mabaya basi utapata mabaya

"Basi kuanzia Leo na mimi najinenea mimi bolotoba ipo siku nitamiliki zaidi ya Bilion moja kwenye account"

👉Martin Luther alinena "one day whites and blacks will shake hands" na kweli imetokea
👉Prof Jay alijitabiria kwenye nyimbo zake atakuwa wanasiasa na kweli akawa sikiliza nyimbo "ndio mzee"
👉Kanumba alisema hatooa na kweli alikufa bila kuoa
👉Nyerere alisema "mpinzani wa kweli atatoka chama Cha mapinduzi na kweli wapinzani wa kweli tu nawaona"Mh. Mpina"
👉Mama yangu mzazi alinambia "usichelewe kuoa ili nione wajukuu" sijaoa hadi leo alikufa bila kuwaona wajukuu
👉Makonda alimnenea mama Samia "ikiwezekana mama siku moja uje kuwa rais wa kwanza mwanamke 2014 hiyo"

Kinachonichanganya kwanini mtu akijinenea mabaya kuna asilimia kubwa ya
naweza kutokea? Tofauti na kunena mazuri 🤔⁉️

Tajiri Sina BAYA Monetary doctor makutupora Fanton Mahal
 
Waliyaongea haya wakiwa tayar wana % kadhaa za mchakato kuanza. Tayar kulikua na background moves, hawakusema wakiwa wamekaa tu. They were in it already. They had plans, strategies and they kept staying on a focused purpose.
Hayakua maneno matupu. Yalikua na vitendo. Ndio maana unaona ni manemo machache tu. Ila mipngo ilikua mingi.

Hivyo na wewe usiseme tu huku umenyoosha miguu unakunywa mbege. My brother, maneno bila mipango na utendaji, are just empty words, and universe will ignore them ,hence never will manifest.

Ongea kisha NENDA KAKAZE
 
Huu ni ukweli kabisa zamani nilikua najinenea mara kwa mara kwamba nitakua rais wa Tanzania na kweli ikawa kama nilivyokua najinenea.... Kuna rafiki zangu walijinenea watakua marubani na kweli kwenye kundi letu walipatikana marubani 7😁😁

Jinenee utajiri mkuu utashangaa unampita hadi bakhresa
 
Poleni na Mapambano, wakuu

👉Kuna msemo mmoja unasema, mdomo huuumba watu wanasema ukijinenea mazuri basi utapata mazuri ukijinenea mabaya basi utapata mabaya

"Basi kuanzia Leo na mimi najinenea mimi bolotoba ipo siku nitamiliki zaidi ya Bilion moja kwenye account"

👉Martin Luther alinena "one day whites and blacks will shake hands" na kweli imetokea
👉Prof Jay alijitabiria kwenye nyimbo zake atakuwa wanasiasa na kweli akawa sikiliza nyimbo "ndio mzee"
👉Kanumba alisema hatooa na kweli alikufa bila kuoa
👉Nyerere alisema "mpinzani wa kweli atatoka chama Cha mapinduzi na kweli wapinzani wa kweli tu nawaona"Mh. Mpina"
👉Mama yangu mzazi alinambia "usichelewe kuoa ili nione wajukuu" sijaoa hadi leo alikufa bila kuwaona wajukuu
👉Makonda alimnenea mama Samia "ikiwezekana mama siku moja uje kuwa rais wa kwanza mwanamke 2014 hiyo"

Tajiri Sina BAYA Monetary doctor makutupora Fanton Mahal
Lakini waswaheli wanasema MANENO MATUPU HAYAVUNJI MFUPA
 
Waliyaongea haya wakiwa tayar wana % kadhaa za mchakato kuanza. Tayar kulikua na background moves, hawakusema wakiwa wamekaa tu. They were in it already. They had plans, strategies and they kept staying on a focused purpose.
Hayakua maneno matupu. Yalikua na vitendo. Ndio maana unaona ni manemo machache tu. Ila mipngo ilikua mingi.

Hivyo na wewe usiseme tu huku umenyoosha miguu unakunywa mbege. My brother, maneno bila mipango na utendaji, are just empty words, and universe will ignore them ,hence never will manifest.

Ongea kisha NENDA KAKAZE
Sasa mbona mtu akijenenea mabaya yanamtokea
 
Back
Top Bottom