Foleni si kitu kilichonikaa kwenye ubongo wangu maana naishi huku kijijini kwenye madongo kuliwa
na mchwa na kama foleni unayozungumzia ni ya magari, huku magari twayaona tu siku ya soko.simu ya kumvua
demu nguo ni hitaji muhimu la wanaume. Au
Bulldog?