Wanasayansi: Msaada kuhusu hii nyota

NZURI PESA

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
5,958
2,951
Habari wakuu nipo nje nimatazama angani upande wa magharibi nimeona ile nyota kubwa ana mng'ao mkali si wa kawaida pia ina kama muingiliano na nyota nyingine je wanasayansi hii ni hali gani kisayansi?
natanguliza shukran
 
Hiyo siyo nyota ila ni Sayari inaitwa Venus, ni sayari ya pili kutoka kwenye jua ikitanguliwa na Mecury,

Kutoka Jua, inafuata Mecury, inafuata Venus, inafuata Dunia ...., imeanza kuonekana siku nyingi kiasi itaendelea kuonekana kwa miezi kadhaa itapotea kisha itaanza kuonekana alfajiri upande wa Mashariki
 
Ni kweli, hiyo nyota inayong'aa sana ni sayari Zuhura (Venus) na jirani juu yake ni sayari nyingine Mirihi (Mars) inang'aa kwa uwekundu. Angalia tovuti ya Astronomy in Tanzania kwa maelezo zaidi na nyota angani mwaka huu.
 
Hiyo siyo nyota ila ni Sayari inaitwa Venus, ni sayari ya pili kutoka kwenye jua ikitanguliwa na Mecury,

Kutoka Jua, inafuata Mecury, inafuata Venus, inafuata Dunia ...., imeanza kuonekana siku nyingi kiasi itaendelea kuonekana kwa miezi kadhaa itapotea kisha itaanza kuonekana alfajiri upande wa Mashariki
mkuu kwakua imezibwa na mawingu hutaweza iona vema ila unayoizungumzia wewe inaonekana zipo pamoja na hiyo mpya kubwa zaidi ina umbo la mstatili na si kinyotanyota
 
Unaangalia magharibi tokea mkoa gani... TZ kubwa wengine inaweza kuwa hataKusini Mashariki
 
Back
Top Bottom