Baba atelekezewa watoto na mama yao, baada ya miaka mitatu anagundua vyeti vyao vimeandikwa jina la baba mwingine

Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
4,446
16,300
Baada ya kuwalea wanae kwa miaka mitatu, Abdul Juma anagundua vyeti vyao vimeandikwa jina la baba mwingine.

Watoto walitelekezwa na mama yao katika nyumba ya kulala wageni.

 
Akimkata kichwa anang'ang'aniwa lakini ktk situation kama hii hata hao makamanda na mahakimu wange-solve vipi?
 
Huu sasa ni uonevu usio na kipimo. Ingawa na jamaa mwenyewe naye pia anaonekana ni mume bwege.
 
Back
Top Bottom