Mdanganye, ameona jiwe linarushwa kakatalia kwenye gari.Tunataka kiongozi ambaye hata akipigwa risasi hafi full stop.
Leo kwenye mkutano wa Chato nilikuwa nimejikalia pembeni huku nacheeka hehehe Lissu ni burdani tosha kabisa
Anyway Roho yangu inafuraha sana sana sana,...pole mleta mada niko nje ya mada
Sasa Mimi kufurahi imekua Nongwa?!Ulikuwa unacheka jinsi alivyo kuwa akiwalaghai, abawauliza ndege mtapanda lini? yuko mwenye shda na ndege? Sasa huu si utapeli wa mchana kweupe jua likiwaka. Anataka kuwalaghai eti, eti, eti ndege faida yake kwa Tanzania na Wstanzania itaonekana kama wakiipanda. Kiongozi kama huyu si laana tula na tapeli la kutupa, huyu!
Rambo anawafaaTunataka kiongozi ambaye hata akipigwa risasi hafi full stop.
Katika kipindi hiki cha kampeni upinzani hawana jipya kabisa. ntawenda kwa point kama ifuatavyo...
Katika makosa waliyoyofanya chadema ambayo yamewaacha watupu mbele ya wapiga kura ni kuzira bunge la bajeti kwenye "karantini" baada ya kuramba podho na baadae kuonekana wakizurura kama watoto mitaani.
Magufuli akigusa hapo inawauma wapiga kura hadi tunatamani uchaguzi uwe kesho tumalize hasira zetu kwenye sanduku! Lissu lazima arudi kwa basha lake Amsterdam!
na huko tutafika, subiri JPM aingie mzigoni (uhakika 99.9%)Acha uzushi wewe! Hivi kwanini mnakuwa wazushi kiasi hiki na wakati kuna ushahidi wa kutosha?
Hata wewe naona umetumia "WEREDI" kuandika ngonjera yako hii! Utadhani watu wa URAYA watakuja kuisoma.Katika kipindi hiki cha kampeni upinzani hawana jipya kabisa. ntawenda kwa point kama ifuatavyo....
na huko tutafika, subiri JPM aingie mzigoni (uhakika 99.9%)
Kama wa Chato wenyewe wamemuelewa Lissu itakuwa hawa wa Nanjilinji?Tangu lini umekuwa msemaji wa Watanzania? Unadhani ni kwanini Mkapa alitaka tume huru ili kuhakikisha uchaguzi ni huru na wa haki? Unadhani ni kwanini kuna vilio vya Watanzania wengi kura zihesabiwe kwa uwazi na hadharani. Kama wewe hutaki uhuru na haki basi usijikweze kama vile ni msemaji wa Watanzania.
Hii ndio shida ya mtoto kuzaliwa njiti.umeandika ujinga gani.Katika makosa waliyoyofanya chadema ambayo yamewaacha watupu mbele ya wapiga kura ni kuzira bunge la bajeti kwenye "karantini" baada ya kuramba podho na baadae kuonekana wakizurura kama watoto mitaani.
Magufuli akigusa hapo inawauma wapiga kura hadi tunatamani uchaguzi uwe kesho tumalize hasira zetu kwenye sanduku! Lissu lazima arudi kwa basha lake Amsterdam!
Chato wamemtia adabu Lisu na oktoba 28 ni siku ya watanzania wote kuwatia adabu matapeli wakisiasa (wapinzani)Katika kipindi hiki cha kampeni upinzani hawana jipya kabisa. ntawenda kwa point kama ifuatavyo...
Adabu gani wewe poyoyo hao mapunguani wenzako kurusha mawe ndio unaona adabu,jibuni hoja mbwa nyieChato wamemtia adabu Lisu na oktoba 28 ni siku ya watanzania wote kuwatia adabu matapeli wakisiasa (wapinzani)
Tapeli haswaa jitu linaumwa lakini bado liko bize na propagandaZitto na genge lake ni matapeli wa Kisiasa, Marekani siku kama mbili zilizopita yako majimbo kwa siku kadhaa walikosa umeme na huduma nyingine kwa sababu ya huricane/kimbunga. Majanga ya asili yamekuwa mtaji wa kampeni kwa hawa matapeli wa kisiasa Tanzania. Mungu si Athumani katukana miundombinu, nayo ikamkataa kwa ajali, hajajifunza?