Wanaowazomea wachezaji uwanjani hawajui mpira

Wanaowazomea wachezaji uwanjani hawajui mpira

mansoorsaid

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2014
Posts
1,498
Reaction score
286
inasikitisha hasa washabiki wa dar kuwazomea wachezaji uwanjani hayajui mpira na wataendelea kuwa wajinga wa mpira miaka na miaka kama wewe unajua kwanini haupo hapo uwanjani kucheza kwa maana hiyo hujui kucheza upo hapo kama mshangiliaji tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom