Nimeielewa hoja yako.
Mimi nashauri wataalam wetu wa semiconductors na electonics kutoka chuo kikuu, Dit pamoja na Veta wa-designe circuit itakayokuwa na uwezo wa ku kutambua mwanga ikimulikwa kisha inabadili automatically kutoka full light kwenda dimm light.
wirring hiyo ya magari ndio itungiwe sheria kushinikiza kila gari lazima lifungiwe kifaa hicho.
TATIZO LITAKUWA LIMEKWISHA.
Wengine hawaoni ila wanalazimishia kuendesha usiku. Na hivi barabara zetu hazina taa....
Yaani kama bagamoyo road kukosa taa ni janga
watu inabidi waweke full ili waone manake giza zito barabara ile
Ni vema ukisema ili tuwe na uelewa wa pamoja.Duuuuuh!!
Habari za jioni waheshimiwa, mo naomba bunge lijalo lipitishe sheria kali kwa wale wanaowasha taa full wakati wa usiku kwani huwa zinaumiza sana, kitu ambacho kinaweza kusababisha kutokuona vizuri na wakati mwingine ajali.
Unakuta madereva wengine wanawasha taa kali kama vile wanawinda maporini usiku. Huwa inakera sana wajameni.
Au kama sheria ipo tafadhali nijulishwe hatua za kufuata.
Ni hayo tuu kwa leo, nawasilisha ....
Kuwasha taa FULL usiku sio kosa, zimeundwa ili zitumike kuwashwa usiku. Tatizo linakuja pale Dreva anapowasha taa full wakati wa kupishana na gari nyingine ambapo anamfanya Dreva wa gari hiyo nyingine anayopishana nayo asione vizuri. Dreva anayeheshimu uwepo wa wawatumia barabara wengine na kujua kuwa hata hao wengine wana haki ya kutumia barabara kama yeye hawezi kumfanyia mwenzake makusudi hayo ambayo yanahatarisha maisha ya mwenzake. Wajinga na wapumbavu ndio wanaofanya hayo.