Wanaouza passport zetu ni watanzania au ni Watusi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaouza passport zetu ni watanzania au ni Watusi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rosemarie, May 31, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Wazee naombeni mnisaidie kwenye hili, passport zinachukuliwa sana na wageni hasa kutoka Burundi, Rwanda, Kongo, Kenya, Nigeria, Ghana nk.

  Hivi jamani mtanzania atathubutu kuuza passport ya taifa lake? Hana uchungu au wivu na taifa lake? Nilikuwa Tunduma last week Wanaigeria waliovushwa pale na passport zetu hawahesabikii.

  Hivi jamani hao wanaofanya kazi ya kutoa passport ni wenzetu, au nao wageni?

  Mbona mnanichanganya?
   
 2. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Mwenye ufunguo wa nchi yako ni mtanzania mwezako. Wewe unaona wasiokuwa na uchungu au wivu na taifa lao ni hao wauzaba passport? Angalia Mafisadi na wauza unga, hawa wana uchungu na taifa letu?. Wanaotuumiza ni watanzania wenzetu tena ambao tumewaamini sana na kuwapa mamlaka katika ofisi mbalimbali za serikali.
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,335
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280
  Chukua chako Mapema ni sera mbaya sana inaua roho ya uzalendo. Chukia CCM chukia chama cha magamba
   
Loading...