Wanaounga mkono ccm choka mbaya

Ballot

Member
Joined
Jan 4, 2012
Posts
39
Reaction score
12
yaani naangalia kupitia tv jinsi watu wanaojiita wana ccm walivyokaa pale kirumba mwanza yaani jamani jamaa wamechoka mbaya'yaani sura zinaonyesha jinsi wasivyo na matumaini''
Nahisi hawajui nini hasa kinaendelea ndani ya taifa hili wakati vijana wenzao watoto wa mafisadi wanavyopewa ulaji na wao wakiendelea kukonda na kupauka
 
malori kibao yameenda kuwasomba vijijini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…