Wanaotumia DIGITEK na CONTINENTAL tuambie!

hivyo vyakurekodi havina ishu...
1. kwanza sio kila channel unaweza kurekodi.. ni baadhi ya channel tu zinazokubali.
2. inarekodi kipande kidogo sana kama dakika 4 tu. hata kama umeweka flash yenye free space kibao

Sawa sawa mkuu
 

ndugu.kuusu prog za watoto bado hawajaweka ila niliwasiliana na wahusika wamenitonya prog za watoto zinakuja hivi karibuni.maana wanakamlisha uingizaji wa station zifike 60 ila kwa sasa kuna station ya [star movie+] ambayo hipo kwenye kingamuzi hichi inaonyesha cartoon kila j2 kuanzia saa tatu kamili usiku.nihayotu [comrade] mwenzangu.nakushauri ukinunue hutajutia pesa yako.
 
Kwa mtindo huu mtu unaweza kujaza visumbusi Sebuleni kama unafanya kazi TCRA


Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
kwa mtindo huu mtu unaweza kujaza visumbusi sebuleni kama unafanya kazi tcra


sent from my ipad air using jamiiforums

na hilo ndo tatizo kubwa tulilonalo kwa sasa kwenye media and entertainment industry hususan kwenye television
 
wako vizur kumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…