Wanaoteseka zaidi katika mapenzi ni wanawake

Wanaoteseka zaidi katika mapenzi ni wanawake

Gaddaf i06

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2022
Posts
1,770
Reaction score
2,845
Mwanamke akiwa na mahusiano na wewe anataka ufanye vile yeye angependa (vya kumfurahisha tu).

Mwanamke akikupenda anataka nawewe umpende hivyo hivyo, ukimpotezea ANAKUCHUKIA!

Atajaribu kukutega usipoingia kwenye kamba zake anakuona ZOBA!

Ukistisha mahusiano nae anasema AMETENDWA na anauwezo wa kuchukua maamuzi ya kujidhuru yeye mwenyewe (sio kunywa sumu, anaweza akafanya mambo ya ajabu sana akijuwa anakukomoa kumbe anajiumiza yeye mwenyewe)

Ni wanaume wachache wanaoweza kusema kwamba "wametendwa" ukilinganisha na wanawake!

WANAWAKE mapenzi yanawatesa KwELI KWELI!
 
Mkuu- palee Libya ilikuaje! Kuaje na vipi? Sasa hivi hali ya Libya
 
5CA3C883-75F2-47A8-BEB2-9838AE34740A.jpeg
 
Wanawake wa mwendokasi wanataka hela tu mapenzi kwao yamesha expired.
ni kweli lakni atataka hela kwa juma, pia atataka mapenzi kwa abdala! Kama unaombwa hela kwa sana ujue kuna sehemu yeye mwenyew anatoa hela! Kama si hvyo basi ndo hao wenye hstoria ya "kutendwa"
 
Mke wa jamaa mmoja kule misri alimtamani yusufu (handsome boy) akafanya jitihada za kulala nae zikagonga mwamba! Yusufu alichofanyiwa...!
 
Back
Top Bottom